CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
- #181
MAANDALIZI yanaendelea vizuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kinashindikana kwa Mungu mkuu njoo tukesheMie nataka kujua tuu...je anaweza kukiomnea kibamia changu kigeuke kiwa de liboloz? Nateseka sana na hiki kibamia changu
Ah kukesha tena jamani mbona mnasemaga usiku ni wa shetaniHakuna kitu kinashindikana kwa Mungu mkuu njoo tukeshe
View attachment 3029786
Nitumie jukwaa hili kuwaalika na kuwakaribisha kwenye mkesha mkubwa ambao wewe na jamaa yako hamtausahau kwenye maisha yenu yote kama anavyosema Apostle Boniface Godwin Mwamposa wa huduma ya maombi na maombezi ya Arise & Shine Kawe jijini Dar es salaam Tanzania.
Bila kujali dini yako fanya haya ;-
1. Kama unaumwa ugonjwa wowote ule hata kama madaktari Wamesema hautapona au ndugu yako anaumwa njoo na picha yake au njoo wewe uandike jina lake na ufute hiyo kesi utanishukuru.
2. Kama timu yako ya Mpira au wewe mwenyewe hauna bahati ya kufunga Magori kama Kibu Denis wa Simba njooni Ijumaa tukeshe Kawe.
3. Kama wewe ni bondia na unapigwa Kila shindano kama Dula Mbabe njoo na gloves zako tukeshe utanishukuru.
4. Kama wewe ni mwanafunzi na unafeli Kila mtihani njoo wewe au mzazi wako na matokeo yako tukeshe.
5. Kama ndoa au uchumba unazingua wenzako wote wameolewa wewe bado mchumba njoo tukeshe utanishukuru.
6. Kama huelewi elewi tu mambo yanayokupata au kutokea njoo tukeshe,
7. Kama unajenga nyumba haumalizi njoo na udongo wa hilo eneo tukeshe,
8. Kama unafanya Biashara na hupati wateja njoo na udongo wa eneo lako la biashara,
9. Kama unaboda na hupati wateja njoo na kadi ya pikipiki au funguo tukeshe.
9. Kama huna kazi au umefukuzwa kazi njoo na jina la mwajiri na nyaraka kama chetu au zozote tukeshe.
10. Kama unataka kwenda nje ya nchi njoo na jina la hiyo nchi.
11. Kama unataka kuwa tajiri njoo uandike level ya utajiri unayoitaka kama ni milionea, bilionea etc
12. Kama unataka kibali kwenye sanaa njoo tukeshe
13. Kama unataka waliokuloga wafe wote njoo tukeshe.
14. Kama unataka urudishiwe ulivyopoteza njoo na majina ya hivyo vitu vilivyopotea hata kama ni miaka 20.
15. Kama unataka kwenda Mbinguni ukiwa unatabasamu njoo tukeshe na Mtume Boniface Bulldozer Mwamposa.
16. Nakama unajambo lolote ambalo sijalitaja hapa Mungu atalifanya chini ya Mtumishi wake Mwaminifu Mwamposa.
17. Kama huamini pia njoo ufanye ku-test tu kama ni kweli utanishukuru Mimi kukupa hii taarifa.
Ni mimi na ni mimi tu kuwaleteeni taarifa hii ya Ukombozi wenu na watoto wenu na watoto wa watoto wenu na Mimi basi nitendewe kama alivyonena Mtumishi wa Mungu kuhusu kupeleka habari hii njema ya Ukombozi -Amen
#Nawewe sambaza taarifa hii kwa watu 12 utaona matokeo hata kabla ya mkesha huu.
View attachment 3029782
View: https://www.instagram.com/reel/C81xYQ1NkSB/?igsh=MXBwYzh5NnhhYTMxYw==
Unapewa nauli na nani?Kuna upuuzi mwingine lazima uwe kichaa ndio uweze kuufanya. Kwamba nataka kwenda nje ya nchi nikipeleka jina napewa nauli na kila kitu au ni vipi??
Huelewi na hutokaa uelewe.Msalaba mbona upo hapa kwenye picha?
What matters is faithI challenge Mwamposa etc to visit Ocean Road hospital and treat patients with his so called ' powers'..
Nadhani ushahidi pia unao, Wewe njooTAPELI huyo ,aache kuwaibia MISUKULE.
Unalazimisha laana?TAPELI huyo ,aache kuwaibia MISUKULE.
NitakuwepoNitumie jukwaa hili kuwaalika na kuwakaribisha kwenye mkesha mkubwa ambao wewe na jamaa yako hamtausahau kwenye maisha yenu yote kama anavyosema Apostle Boniface Godwin Mwamposa wa huduma ya maombi na maombezi ya Arise & Shine Kawe jijini Dar es salaam Tanzania.
Bila kujali dini yako fanya haya ;-
1. Kama unaumwa ugonjwa wowote ule hata kama madaktari Wamesema hautapona au ndugu yako anaumwa njoo na picha yake au njoo wewe uandike jina lake na ufute hiyo kesi utanishukuru.
2. Kama timu yako ya Mpira au wewe mwenyewe hauna bahati ya kufunga Magori kama Kibu Denis wa Simba njooni Ijumaa tukeshe Kawe.
3. Kama wewe ni bondia na unapigwa Kila shindano kama Dula Mbabe njoo na gloves zako tukeshe utanishukuru.
4. Kama wewe ni mwanafunzi na unafeli Kila mtihani njoo wewe au mzazi wako na matokeo yako tukeshe.
5. Kama ndoa au uchumba unazingua wenzako wote wameolewa wewe bado mchumba njoo tukeshe utanishukuru.
6. Kama huelewi elewi tu mambo yanayokupata au kutokea njoo tukeshe,
7. Kama unajenga nyumba haumalizi njoo na udongo wa hilo eneo tukeshe,
8. Kama unafanya Biashara na hupati wateja njoo na udongo wa eneo lako la biashara,
9. Kama unaboda na hupati wateja njoo na kadi ya pikipiki au funguo tukeshe.
9. Kama huna kazi au umefukuzwa kazi njoo na jina la mwajiri na nyaraka kama chetu au zozote tukeshe.
10. Kama unataka kwenda nje ya nchi njoo na jina la hiyo nchi.
11. Kama unataka kuwa tajiri njoo uandike level ya utajiri unayoitaka kama ni milionea, bilionea etc
12. Kama unataka kibali kwenye sanaa njoo tukeshe
13. Kama unataka waliokuloga wafe wote njoo tukeshe.
14. Kama unataka urudishiwe ulivyopoteza njoo na majina ya hivyo vitu vilivyopotea hata kama ni miaka 20.
15. Kama unataka kwenda Mbinguni ukiwa unatabasamu njoo tukeshe na Mtume Boniface Bulldozer Mwamposa.
16. Nakama unajambo lolote ambalo sijalitaja hapa Mungu atalifanya chini ya Mtumishi wake Mwaminifu Mwamposa.
17. Kama huamini pia njoo ufanye ku-test tu kama ni kweli utanishukuru Mimi kukupa hii taarifa.
Ni mimi na ni mimi tu kuwaleteeni taarifa hii ya Ukombozi wenu na watoto wenu na watoto wa watoto wenu na Mimi basi nitendewe kama alivyonena Mtumishi wa Mungu kuhusu kupeleka habari hii njema ya Ukombozi -Amen
#Nawewe sambaza taarifa hii kwa watu 12 utaona matokeo hata kabla ya mkesha huu.
Nitumie jukwaa hili kuwaalika na kuwakaribisha kwenye mkesha mkubwa ambao wewe na jamaa yako hamtausahau kwenye maisha yenu yote kama anavyosema Apostle Boniface Godwin Mwamposa wa huduma ya maombi na maombezi ya Arise & Shine Kawe jijini Dar es salaam Tanzania.
Bila kujali dini yako fanya haya ;-
1. Kama unaumwa ugonjwa wowote ule hata kama madaktari Wamesema hautapona au ndugu yako anaumwa njoo na picha yake au njoo wewe uandike jina lake na ufute hiyo kesi utanishukuru.
2. Kama timu yako ya Mpira au wewe mwenyewe hauna bahati ya kufunga Magori kama Kibu Denis wa Simba njooni Ijumaa tukeshe Kawe.
3. Kama wewe ni bondia na unapigwa Kila shindano kama Dula Mbabe njoo na gloves zako tukeshe utanishukuru.
4. Kama wewe ni mwanafunzi na unafeli Kila mtihani njoo wewe au mzazi wako na matokeo yako tukeshe.
5. Kama ndoa au uchumba unazingua wenzako wote wameolewa wewe bado mchumba njoo tukeshe utanishukuru.
6. Kama huelewi elewi tu mambo yanayokupata au kutokea njoo tukeshe,
7. Kama unajenga nyumba haumalizi njoo na udongo wa hilo eneo tukeshe,
8. Kama unafanya Biashara na hupati wateja njoo na udongo wa eneo lako la biashara,
9. Kama unaboda na hupati wateja njoo na kadi ya pikipiki au funguo tukeshe.
9. Kama huna kazi au umefukuzwa kazi njoo na jina la mwajiri na nyaraka kama chetu au zozote tukeshe.
10. Kama unataka kwenda nje ya nchi njoo na jina la hiyo nchi.
11. Kama unataka kuwa tajiri njoo uandike level ya utajiri unayoitaka kama ni milionea, bilionea etc
12. Kama unataka kibali kwenye sanaa njoo tukeshe
13. Kama unataka waliokuloga wafe wote njoo tukeshe.
14. Kama unataka urudishiwe ulivyopoteza njoo na majina ya hivyo vitu vilivyopotea hata kama ni miaka 20.
15. Kama unataka kwenda Mbinguni ukiwa unatabasamu njoo tukeshe na Mtume Boniface Bulldozer Mwamposa.
16. Nakama unajambo lolote ambalo sijalitaja hapa Mungu atalifanya chini ya Mtumishi wake Mwaminifu Mwamposa.
17. Kama huamini pia njoo ufanye ku-test tu kama ni kweli utanishukuru Mimi kukupa hii taarifa.
Ni mimi na ni mimi tu kuwaleteeni taarifa hii ya Ukombozi wenu na watoto wenu na watoto wa watoto wenu na Mimi basi nitendewe kama alivyonena Mtumishi wa Mungu kuhusu kupeleka habari hii njema ya Ukombozi -Amen
#Nawewe sambaza taarifa hii kwa watu 12 utaona matokeo hata kabla ya mkesha huu.
Ingekuwaje Kama waliomwani Yesu wangekataa kumwaminiSiwezi kuwa chini ya kanisa la mtu.....kizazi hiki simuamini Nabii naamini YESU.
PokeaaaNanyanyasika sana kwenye upangaji nataka Nyumba yangu, kama kweli Mungu anamtumia Mwamposa nataka kujenga na kuishi kwenye nyumba yangu mwaka huu huu.