MWAMPOSA: Unforgettable overnight tutumalizana na HIV, Nuksi, Mikosi, Mabalaa, Siasa na kama kila unachokifanya hakifanikiwi Kawe inakuhusu

Magari yake yote ameyanunua kupitia waumini kuchangia sadaka.(Hela kwanza sio kwa maombi) Hela haina Imagination utaipata kwamba ukaipata tuu kimaombi, bila kujiweka kwenye mfumo wake.
Anajijengea had Hoteli huko kwao,hakujenga ki maombi hilo ndo lakukumbuka.

Alafu unamkuta mwafrika napeleka hela(sadaka) ila yeye anataka kuombewa apate gari. Daah tuna safari ndefu sana Africa kutoboa
 

Mhuuuu
 
Mzee Nyerere nitakuwepo pamoja na familia yangu, Mungu utusikie
 

Kuna dada yangu alitupiwa mapepo kwenye makanisa haya yasiyojulikana, angalizo nyie mnaopenda kushikwa kichwa na manabii, mnahamishiwa mapepo, nashukuru MUNGU AMEENDA KUPONEA KWA WASABATO......
 
Nanyanyasika sana kwenye upangaji nataka Nyumba yangu, kama kweli Mungu anamtumia Mwamposa nataka kujenga na kuishi kwenye nyumba yangu mwaka huu huu.
 
Huyo ni muhuni tu hata Injili ya kweli amjui...mnadanganya na hao wahuni kuwa kuna Mungu mwenye nafsi 3 😁😁😁😁😁pia wahuni wanawadanganya kuwa yesu alisulibiwa kwa sababu ya dhambi ya asili 😁😁😁😁😁
 
Dada yangu amepona HIV sasa anapendeza tu Asante Mungu wa Mwamposa
 
Acha kubisha Kila kitu wewe njoo uone baraka zako sipendi mabishano
 
Imani humtoa mtu sehem Ngumu aliyoshindwa kuchomoka hivyo usikose katika kukesha nakuomba
 
Acha kubisha Kila kitu wewe njoo uone baraka zako sipendi mabishano
Mimi nina ijua injili ya kweli kuliko binadamu yoyote hapa duniani siwezi kutiishwa na huyo muhuni hata siku moja
 
Kaaz kweli kweli. Injili bila msalaba ni uongo mtupu. Ni suala la muda tu. Hakuna lolote humo, wajinga tu wanakusanywa.
 
Kiingilio bei gani?
Je huu sio ule wakati wakutoana kafara?Nawasiwasi wakutokea maafa kama yale ya mwaka ule,Ila mwaka huu inawezakuwa zaidi mana kafara zinahitajika sana.
 
Tayari nimefika Kawe nataka kushinda kesi mbili kubwa zinazonikabili naamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…