CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
- #61
Karibuni sanaTunakuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibuni sanaTunakuja
Hakuna kiingilioKiingilio bei gani?
Je huu sio ule wakati wakutoana kafara?Nawasiwasi wakutokea maafa kama yale ya mwaka ule,Ila mwaka huu inawezakuwa zaidi mana kafara zinahitajika sana.
Amen karibu sanaMapema Sana .
Msalaba mbona upo hapa kwenye picha?Kaaz kweli kweli. Injili bila msalaba ni uongo mtupu. Ni suala la muda tu. Hakuna lolote humo, wajinga tu wanakusanywa.
Njoo Ubarikiwe acha maneno manenoAfricans ,the disgrace to mankind
Utapokea nyumba mwaka huu huu kama ulivyotaka wewe njoo tuNanyanyasika sana kwenye upangaji nataka Nyumba yangu,Kama kweli Mungu anamtumia Mwamposa nataka kujenga na kuishi kwenye nyumba yangu mwaka huu huu.
Kila kiu itanyamazishwaKama nina nyege??
Nitakupa na mimi ya Hilux single cabin
Injili ya kweli bila vitendo hakuna tofauti na mganga wa kienyejiMimi nina ijua injili ya kweli kuliko binadamu yoyote hapa duniani siwezi kutiishwa na huyo muhuni hata siku moja
Kwanini na wewe usifike?Nitakupa na mimi ya Hilux single cabin
Kama anaombea watu kuwa mabilionea wengine ni maspika wa IPU Je? si zaidi yeye kufanikiwa zaidi?Huyu jamaa amenunua makazi ya watu mbalizi nyuma ya soko la tarafani. Anajenga frem za kutosha. Amenunua shule, amejenga hotel kubwa mkabala na hosipital ya ifisi.....
Huyu ni mwekezaji. Wajinga ndio waliwao
Kenya ameshawaombea na fujo zimekwishaNaenda na picha ya mkenya😂
Uko sahihi 100%✓mimi sioni kama ni sahihi ya kutoa neno la kejeli ama la kudharau huo mkesha pengine kuna watu wanataka kwenda na ni wagonjwa, ama wanapitia taabu mbali mbali wewe usikometi kuwakatisha tamaa acha watu waende...
Amen,Imani humtoa mtu sehem Ngumu aliyoshindwa kuchomoka hivyo usikose katika kukesha nakuomba