Ze Bulldozer
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 1,070
- 568
Kila kitu ni bureKiingilio bei gani?
Je huu sio ule wakati wakutoana kafara?Nawasiwasi wakutokea maafa kama yale ya mwaka ule,Ila mwaka huu inawezakuwa zaidi mana kafara zinahitajika sana.
Tayari nimefika Kawe nataka kushinda kesi mbili kubwa zinazonikabili naamini
[/QUOTE.
Mhuuu, kunamtu anataka kupigwa tukio
Utapeli mwingineView attachment 3029552
Team Jf,
Nitumie jukwaa hili kuwaalika kwenye mkesha mkubwa ambao hautausahau na Jamii yako kwenye maisha yenu kama anavyosema Apostle Boniface Godwin Mwamposa wa huduma ya Arise & Shine Kawe Tanzania.
Fanya haya yafuatayo;-
1. Kama unaumwa ugonjwa wowote ule hata kama madaktari Wamesema huponi au ndugu yako anaumwa njoo na picha yake au njoo uandike jina lake utanishukuru.
2. Kama timu yako ya Mpira au wewe mwenyewe hauna bahati ya Magori kama Kibu Denis wa Simba njooni Ijumaa tukeshe Kawe.
3. Kama wewe ni bondia na unapigwa Kila shindano njoo na gloves zako tukeshe.
4. Kama wewe ni mwanafunzi na unafeli Kila mtihani njoo wewe au mzazi wako tukeshe na matokeo yako.
5. Kama ndoa au uchumba unazingua njoo tukeshe utanishukuru.
6. Kama huelewi elewi tu mambo yanayojupa au kutokea njoo tukeshe,
7. Kama unajenga nyumba haumalizi njoo na udongo wa hilo eneo tukeshe,
8. Kama unafanya Biashara na hupati wateja njoo na udongo wa eneo lako la biashara,
9. Kama unaboda na hupati wateja njoo na kadi ya pikipiki au funguo tukeshe.
9. Kama huna kazi au umefukuzwa kazi njoo na jina la mwajiri na nyaraka kama chetu au yoyote tukeshe.
10. Kama unataka kwenda nje ya nchi njoo na jina la hiyo nchi.
11. Kama unataka kuwa tajiri njoo uandike level ya utajiri unayotaka kama ni milionea, bilionea etc
12. Kama unataka kibali kwenye sanaa njoo tukeshe
13. Kama unataka waliokuloga wafe wote njoo tukeshe.
14. Kama unataka urudishiwe ulivyopoteza njoo na majina ya hivyo vitu.
15. Kama unataka kwenda Mbinguni ukiwa unatabasamu njoo tukeshe na Mtume Boniface Bulldozer Mwamposa.
16. Nakama unajambo lolote ambalo sijalitaja hapa Mungu atalifanya chini ya Mtumishi wake Mwamini Mwamposa.
17. Kama huamini pia njoo ufanye ku-test tu kama ni kweli utanishukuru Mimi kukupa hii taarifa.
Ni mimi na ni mimi tu kuwaleteeni taarifa hii ya Ukombozi wenu na watoto wenu na watoto wa watoto wenu na Mimi basi nitendewe kama alivyonena Mtumishi wa Mungu kuhusu kupeleka habari hii ya Ukombozi -Amen
#Nawewe sambaza taarifa hii kwa watu 12 utaona matokeo hata kabla ya mkesha huu.
Nilivyoona neno chako ni chako tu nikaona hamna kitu hapo. Utahubilije ubinafsi wakati ubinafsi umekatazwa na biblia.View attachment 3029552

Vipi nikienda na bendera ya ccm iondoke madarakani. Ndio iliyowafanya Watanzania wawe masikini miaka zaidi 60Bila shaka Watu watabubujikwa sana machozi ya furaha kwa kupata majibu ya maswali yao katika maisha yao yaliyoandamwa na changamoto mbalimbali.Nawasihi watu wanende wakakutane na mkono hodari wa Mungu wa Ibrahim ,ISaka na Yakobo.
Ujinga kiwango cha SGR huu 😁View attachment 3029552
Team Jf,
Nitumie jukwaa hili kuwaalika kwenye mkesha mkubwa ambao hautausahau na Jamii yako kwenye maisha yenu kama anavyosema Apostle Boniface Godwin Mwamposa wa huduma ya Arise & Shine Kawe Tanzania.
Fanya haya yafuatayo;-
1. Kama unaumwa ugonjwa wowote ule hata kama madaktari Wamesema huponi au ndugu yako anaumwa njoo na picha yake au njoo uandike jina lake utanishukuru.
2. Kama timu yako ya Mpira au wewe mwenyewe hauna bahati ya Magori kama Kibu Denis wa Simba njooni Ijumaa tukeshe Kawe.
3. Kama wewe ni bondia na unapigwa Kila shindano njoo na gloves zako tukeshe.
4. Kama wewe ni mwanafunzi na unafeli Kila mtihani njoo wewe au mzazi wako tukeshe na matokeo yako.
5. Kama ndoa au uchumba unazingua njoo tukeshe utanishukuru.
6. Kama huelewi elewi tu mambo yanayojupa au kutokea njoo tukeshe,
7. Kama unajenga nyumba haumalizi njoo na udongo wa hilo eneo tukeshe,
8. Kama unafanya Biashara na hupati wateja njoo na udongo wa eneo lako la biashara,
9. Kama unaboda na hupati wateja njoo na kadi ya pikipiki au funguo tukeshe.
9. Kama huna kazi au umefukuzwa kazi njoo na jina la mwajiri na nyaraka kama chetu au yoyote tukeshe.
10. Kama unataka kwenda nje ya nchi njoo na jina la hiyo nchi.
11. Kama unataka kuwa tajiri njoo uandike level ya utajiri unayotaka kama ni milionea, bilionea etc
12. Kama unataka kibali kwenye sanaa njoo tukeshe
13. Kama unataka waliokuloga wafe wote njoo tukeshe.
14. Kama unataka urudishiwe ulivyopoteza njoo na majina ya hivyo vitu.
15. Kama unataka kwenda Mbinguni ukiwa unatabasamu njoo tukeshe na Mtume Boniface Bulldozer Mwamposa.
16. Nakama unajambo lolote ambalo sijalitaja hapa Mungu atalifanya chini ya Mtumishi wake Mwamini Mwamposa.
17. Kama huamini pia njoo ufanye ku-test tu kama ni kweli utanishukuru Mimi kukupa hii taarifa.
Ni mimi na ni mimi tu kuwaleteeni taarifa hii ya Ukombozi wenu na watoto wenu na watoto wa watoto wenu na Mimi basi nitendewe kama alivyonena Mtumishi wa Mungu kuhusu kupeleka habari hii ya Ukombozi -Amen
#Nawewe sambaza taarifa hii kwa watu 12 utaona matokeo hata kabla ya mkesha huu.
Huu si ni Uchawi mwingine kama wa yule kiboko ya wachawi?. Kama unataka waliokuloga wafe wote njoo
Si aende ma hospitalini kuokoa watu wanookufa kwa magonjwa? Hana hata haja ya kuweka matangazoView attachment 3029552
Team Jf,
Nitumie jukwaa hili kuwaalika kwenye mkesha mkubwa ambao hautausahau na Jamii yako kwenye maisha yenu kama anavyosema Apostle Boniface Godwin Mwamposa wa huduma ya Arise & Shine Kawe Tanzania.
Fanya haya yafuatayo;-
1. Kama unaumwa ugonjwa wowote ule hata kama madaktari Wamesema huponi au ndugu yako anaumwa njoo na picha yake au njoo uandike jina lake utanishukuru.
2. Kama timu yako ya Mpira au wewe mwenyewe hauna bahati ya Magori kama Kibu Denis wa Simba njooni Ijumaa tukeshe Kawe.
3. Kama wewe ni bondia na unapigwa Kila shindano njoo na gloves zako tukeshe.
4. Kama wewe ni mwanafunzi na unafeli Kila mtihani njoo wewe au mzazi wako tukeshe na matokeo yako.
5. Kama ndoa au uchumba unazingua njoo tukeshe utanishukuru.
6. Kama huelewi elewi tu mambo yanayojupa au kutokea njoo tukeshe,
7. Kama unajenga nyumba haumalizi njoo na udongo wa hilo eneo tukeshe,
8. Kama unafanya Biashara na hupati wateja njoo na udongo wa eneo lako la biashara,
9. Kama unaboda na hupati wateja njoo na kadi ya pikipiki au funguo tukeshe.
9. Kama huna kazi au umefukuzwa kazi njoo na jina la mwajiri na nyaraka kama chetu au yoyote tukeshe.
10. Kama unataka kwenda nje ya nchi njoo na jina la hiyo nchi.
11. Kama unataka kuwa tajiri njoo uandike level ya utajiri unayotaka kama ni milionea, bilionea etc
12. Kama unataka kibali kwenye sanaa njoo tukeshe
13. Kama unataka waliokuloga wafe wote njoo tukeshe.
14. Kama unataka urudishiwe ulivyopoteza njoo na majina ya hivyo vitu.
15. Kama unataka kwenda Mbinguni ukiwa unatabasamu njoo tukeshe na Mtume Boniface Bulldozer Mwamposa.
16. Nakama unajambo lolote ambalo sijalitaja hapa Mungu atalifanya chini ya Mtumishi wake Mwamini Mwamposa.
17. Kama huamini pia njoo ufanye ku-test tu kama ni kweli utanishukuru Mimi kukupa hii taarifa.
Ni mimi na ni mimi tu kuwaleteeni taarifa hii ya Ukombozi wenu na watoto wenu na watoto wa watoto wenu na Mimi basi nitendewe kama alivyonena Mtumishi wa Mungu kuhusu kupeleka habari hii ya Ukombozi -Amen
#Nawewe sambaza taarifa hii kwa watu 12 utaona matokeo hata kabla ya mkesha huu.
Fanyeni kazi hakuna Vitu wala kali za bure...mnaibiwa na matapeli wa mjiniBila shaka Watu watabubujikwa sana machozi ya furaha kwa kupata majibu ya maswali yao katika maisha yao yaliyoandamwa na changamoto mbalimbali.Nawasihi watu wanende wakakutane na mkono hodari wa Mungu wa Ibrahim ,ISaka na Yakobo.
Maskini Dar wamejaa anaze na hao kwanza.Si aende ma hospitalini kuokoa watu wanookufa kwa magonjwa? Hana hata haja ya kuweka matangazo
Mungu hadhihakiwi. Hawezi kupokea maombi ya aina hiyo .Vipi nikienda na bendera ya ccm iondoke madarakani. Ndio iliyowafanya Watanzania wawe masikini miaka zaidi 60
Yawezekana ila sio Kwa MwamposaKuna dada yangu alitupiwa mapepo kwenye makanisa haya yasiyojulikana,,,angalizo nyie mnaopenda kushikwa kichwa na manabii , mnahamishiwa mapepo , nashukuru MUNGU AMEENDA KUPONEA KWA WASABATO......
Karibu sana mkuu ufalme wa Mbinguni unatekwa na wenye nguvuTayari nimefika Kawe nataka kushinda kesi mbili kubwa zinazonikabili naamini
Lucas wewe pia Ubarikiwe na Uteuzi ukufuate popote ulipoMungu hadhihakiwi. Hawezi kupokea maombi ya aina hiyo .
Njoo utapona kabisa
Aminaa sanaa.Lucas wewe pia Ubarikiwe na Uteuzi ukufuate popote ulipo
Mungu hana CHAMA hata Lissu akija atapona tuMaskini Dar wamejaa anaze na hao kwanza.
Harafu huyu jamaa mbona Wana Lumumba wanamtetea sana au ni Calculated Systematic Theft?