MWAMPOSA: Unforgettable overnight tutumalizana na HIV, Nuksi, Mikosi, Mabalaa, Siasa na kama kila unachokifanya hakifanikiwi Kawe inakuhusu

Kiingilio bei gani?
Je huu sio ule wakati wakutoana kafara?Nawasiwasi wakutokea maafa kama yale ya mwaka ule,Ila mwaka huu inawezakuwa zaidi mana kafara zinahitajika sana.
Hakuna kiingilio
 
Kaaz kweli kweli. Injili bila msalaba ni uongo mtupu. Ni suala la muda tu. Hakuna lolote humo, wajinga tu wanakusanywa.
Msalaba mbona upo hapa kwenye picha?
 
Nanyanyasika sana kwenye upangaji nataka Nyumba yangu,Kama kweli Mungu anamtumia Mwamposa nataka kujenga na kuishi kwenye nyumba yangu mwaka huu huu.
Utapokea nyumba mwaka huu huu kama ulivyotaka wewe njoo tu
 
Huyu jamaa amenunua makazi ya watu mbalizi nyuma ya soko la tarafani. Anajenga frem za kutosha. Amenunua shule, amejenga hotel kubwa mkabala na hosipital ya ifisi.....

Huyu ni mwekezaji. Wajinga ndio waliwao
 
Mimi nina ijua injili ya kweli kuliko binadamu yoyote hapa duniani siwezi kutiishwa na huyo muhuni hata siku moja
Injili ya kweli bila vitendo hakuna tofauti na mganga wa kienyeji
 
Huyu jamaa amenunua makazi ya watu mbalizi nyuma ya soko la tarafani. Anajenga frem za kutosha. Amenunua shule, amejenga hotel kubwa mkabala na hosipital ya ifisi.....

Huyu ni mwekezaji. Wajinga ndio waliwao
Kama anaombea watu kuwa mabilionea wengine ni maspika wa IPU Je? si zaidi yeye kufanikiwa zaidi?

Kama anabariki wengine yeye hawezi kubarikiwa?

Lazima abarikiwe mara 100.
 
mimi sioni kama ni sahihi ya kutoa neno la kejeli ama la kudharau huo mkesha pengine kuna watu wanataka kwenda na ni wagonjwa, ama wanapitia taabu mbali mbali wewe usikometi kuwakatisha tamaa acha watu waende...
 
Uko sahihi 100%✓
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…