MWAMPOSA: Unforgettable overnight tutumalizana na HIV, Nuksi, Mikosi, Mabalaa, Siasa na kama kila unachokifanya hakifanikiwi Kawe inakuhusu

Ni hivi : Matatizo na shida zako huwa haziondolewi na mtu ila ni wewe Mwenyewe lazima upambane aisee. Kwa mfano mtu unaomba Mungu akupe milioni 100 lakini ukipata laki 2 una relax. Yaani ni wewe mwenyewe unayeweza kujiondolea hayo matatizo sio mtu. Mbona Japan, Korea, UAE na hao Wazungu hawana haya maigizo? Watanzania bado tuna safari ndefu sana.
 
Kuna mambo huyafahamu wewe ndg yangu, Fuatilia sana huyu Mwamposa
 
Ipo siku utawatafuta kwa kilio
Wewe una kichaa.
Yaani mimi niwatafte mashetani wale.

Mimi imani yangu inaniambia Yesu ndiye kioo.

Anachofanya yeye (Yesu) ndiyo Mungu anafanya, anachosema yeye ndiyo Mungu amesema, na kupitia yeye (Yesu) ndiyo tunamjua Mungu.

Sijawahi ona popote kwenye biblia Yesu alifanya ma utapeli ya kuuza sijui udongo, mafuta, maji, chumvi sijui keki za upako kama wanavyo fanya hawa matapeli saivi.
Ipo siku utawatafuta kwa kilio
 
Ngoja tukuone kama ni kweli unachosema
 
Nitakuwepo mapema tu
 
Ngoja tukuone kama ni kweli unachosema
Imani yangu iko moyoni, siyo fuata mikumbo huko makanisani.

Mstari unao tenganisha dini/imani na ujinga huwa ni mwembamba sana.

Watu siku hizi kwa sababu ya uvivu wao wa kulisoma neno la Mungu wamjue Mungu wa kweli ana character zipi, ndiyo wanajikuta kwenye kulishwa makeki ya upako na kukanyagishwa mafuta kila kukicha.

Hili ndio kundi la wajinga.
 
Kweli watu zaidi ya 200K ni wajinga?
Naam. Nyerere alishawahi kusema hata wengi wanaweza kuwa wajinga na kufanya kosa.

Bila shaka ndipo alipopata ujasiri wa kupindua matakwa ya watu 80% waliotaka mfumo wa chama kimoja uendelee na kuwapa umuhimu 20% waliotaka vyama vingi!
 
Naam. Nyerere alishawahi kusema hata wengi wanaweza kuwa wajinga na kufanya kosa.

Bila shaka ndipo alipopata ujasiri wa kupindua matakwa ya watu 80% waliotaka mfumo wa chama kimoja uendelee na kuwapa umuhimu 20% waliotaka vyama vingi!
Very rare
 

Nipo njiani nakuja kama wengine wengi shida za kujitakia kwa waganga na wachawi Hapana
 
Wewe binti unanipa raha sana hapa Duniani mpaka shetani mwenyewe anaona wivu. Muda wote najiona nimeshiba kwa ajili ya raha tu unipayo.
Uende ukachukue mafuta upake simu yako bando litakuwa halikati na hutowalalamikia kamwe watoa huduma za internet😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…