MWAMPOSA: Unforgettable overnight tutumalizana na HIV, Nuksi, Mikosi, Mabalaa, Siasa na kama kila unachokifanya hakifanikiwi Kawe inakuhusu

Ni hivi : Matatizo na shida zako huwa haziondolewi na mtu ila ni wewe Mwenyewe lazima upambane aisee. Kwa mfano mtu unaomba Mungu akupe milioni 100 lakini ukipata laki 2 una relax. Yaani ni wewe mwenyewe unayeweza kujiondolea hayo matatizo sio mtu. Mbona Japan, Korea, UAE na hao Wazungu hawana haya maigizo? Watanzania bado tuna safari ndefu sana.
 
Kuna mambo huyafahamu wewe ndg yangu, Fuatilia sana huyu Mwamposa
 
Ipo siku utawatafuta kwa kilio
Wewe una kichaa.
Yaani mimi niwatafte mashetani wale.

Mimi imani yangu inaniambia Yesu ndiye kioo.

Anachofanya yeye (Yesu) ndiyo Mungu anafanya, anachosema yeye ndiyo Mungu amesema, na kupitia yeye (Yesu) ndiyo tunamjua Mungu.

Sijawahi ona popote kwenye biblia Yesu alifanya ma utapeli ya kuuza sijui udongo, mafuta, maji, chumvi sijui keki za upako kama wanavyo fanya hawa matapeli saivi.

Ngoja tukuone kama ni kweli unachosema
 
View attachment 3029552

Team Jf,

Nitumie jukwaa hili kuwaalika kwenye mkesha mkubwa ambao hautausahau na Jamii yako kwenye maisha yenu kama anavyosema Apostle Boniface Godwin Mwamposa wa huduma ya Arise & Shine Kawe Tanzania.

Bila kujali dini yako fanya haya ;-

1. Kama unaumwa ugonjwa wowote ule hata kama madaktari Wamesema huponi au ndugu yako anaumwa njoo na picha yake au njoo uandike jina lake utanishukuru.

2. Kama timu yako ya Mpira au wewe mwenyewe hauna bahati ya Magori kama Kibu Denis wa Simba njooni Ijumaa tukeshe Kawe.

3. Kama wewe ni bondia na unapigwa Kila shindano njoo na gloves zako tukeshe.

4. Kama wewe ni mwanafunzi na unafeli Kila mtihani njoo wewe au mzazi wako tukeshe na matokeo yako.

5. Kama ndoa au uchumba unazingua njoo tukeshe utanishukuru.

6. Kama huelewi elewi tu mambo yanayojupa au kutokea njoo tukeshe,

7. Kama unajenga nyumba haumalizi njoo na udongo wa hilo eneo tukeshe,

8. Kama unafanya Biashara na hupati wateja njoo na udongo wa eneo lako la biashara,

9. Kama unaboda na hupati wateja njoo na kadi ya pikipiki au funguo tukeshe.

9. Kama huna kazi au umefukuzwa kazi njoo na jina la mwajiri na nyaraka kama chetu au yoyote tukeshe.

10. Kama unataka kwenda nje ya nchi njoo na jina la hiyo nchi.

11. Kama unataka kuwa tajiri njoo uandike level ya utajiri unayotaka kama ni milionea, bilionea etc

12. Kama unataka kibali kwenye sanaa njoo tukeshe

13. Kama unataka waliokuloga wafe wote njoo tukeshe.

14. Kama unataka urudishiwe ulivyopoteza njoo na majina ya hivyo vitu.

15. Kama unataka kwenda Mbinguni ukiwa unatabasamu njoo tukeshe na Mtume Boniface Bulldozer Mwamposa.

16. Nakama unajambo lolote ambalo sijalitaja hapa Mungu atalifanya chini ya Mtumishi wake Mwamini Mwamposa.

17. Kama huamini pia njoo ufanye ku-test tu kama ni kweli utanishukuru Mimi kukupa hii taarifa.

Ni mimi na ni mimi tu kuwaleteeni taarifa hii ya Ukombozi wenu na watoto wenu na watoto wa watoto wenu na Mimi basi nitendewe kama alivyonena Mtumishi wa Mungu kuhusu kupeleka habari hii ya Ukombozi -Amen

#Nawewe sambaza taarifa hii kwa watu 12 utaona matokeo hata kabla ya mkesha huu.
Nitakuwepo mapema tu
 
Ngoja tukuone kama ni kweli unachosema
Imani yangu iko moyoni, siyo fuata mikumbo huko makanisani.

Mstari unao tenganisha dini/imani na ujinga huwa ni mwembamba sana.

Watu siku hizi kwa sababu ya uvivu wao wa kulisoma neno la Mungu wamjue Mungu wa kweli ana character zipi, ndiyo wanajikuta kwenye kulishwa makeki ya upako na kukanyagishwa mafuta kila kukicha.

Hili ndio kundi la wajinga.
 
Kweli watu zaidi ya 200K ni wajinga?
Naam. Nyerere alishawahi kusema hata wengi wanaweza kuwa wajinga na kufanya kosa.

Bila shaka ndipo alipopata ujasiri wa kupindua matakwa ya watu 80% waliotaka mfumo wa chama kimoja uendelee na kuwapa umuhimu 20% waliotaka vyama vingi!
 
Very rare
 
View attachment 3029552

Team Jf,

Nitumie jukwaa hili kuwaalika kwenye mkesha mkubwa ambao hautausahau na Jamii yako kwenye maisha yenu kama anavyosema Apostle Boniface Godwin Mwamposa wa huduma ya Arise & Shine Kawe Tanzania.

Bila kujali dini yako fanya haya ;-

1. Kama unaumwa ugonjwa wowote ule hata kama madaktari Wamesema huponi au ndugu yako anaumwa njoo na picha yake au njoo uandike jina lake utanishukuru.

2. Kama timu yako ya Mpira au wewe mwenyewe hauna bahati ya Magori kama Kibu Denis wa Simba njooni Ijumaa tukeshe Kawe.

3. Kama wewe ni bondia na unapigwa Kila shindano njoo na gloves zako tukeshe.

4. Kama wewe ni mwanafunzi na unafeli Kila mtihani njoo wewe au mzazi wako tukeshe na matokeo yako.

5. Kama ndoa au uchumba unazingua njoo tukeshe utanishukuru.

6. Kama huelewi elewi tu mambo yanayojupa au kutokea njoo tukeshe,

7. Kama unajenga nyumba haumalizi njoo na udongo wa hilo eneo tukeshe,

8. Kama unafanya Biashara na hupati wateja njoo na udongo wa eneo lako la biashara,

9. Kama unaboda na hupati wateja njoo na kadi ya pikipiki au funguo tukeshe.

9. Kama huna kazi au umefukuzwa kazi njoo na jina la mwajiri na nyaraka kama chetu au yoyote tukeshe.

10. Kama unataka kwenda nje ya nchi njoo na jina la hiyo nchi.

11. Kama unataka kuwa tajiri njoo uandike level ya utajiri unayotaka kama ni milionea, bilionea etc

12. Kama unataka kibali kwenye sanaa njoo tukeshe

13. Kama unataka waliokuloga wafe wote njoo tukeshe.

14. Kama unataka urudishiwe ulivyopoteza njoo na majina ya hivyo vitu.

15. Kama unataka kwenda Mbinguni ukiwa unatabasamu njoo tukeshe na Mtume Boniface Bulldozer Mwamposa.

16. Nakama unajambo lolote ambalo sijalitaja hapa Mungu atalifanya chini ya Mtumishi wake Mwamini Mwamposa.

17. Kama huamini pia njoo ufanye ku-test tu kama ni kweli utanishukuru Mimi kukupa hii taarifa.

Ni mimi na ni mimi tu kuwaleteeni taarifa hii ya Ukombozi wenu na watoto wenu na watoto wa watoto wenu na Mimi basi nitendewe kama alivyonena Mtumishi wa Mungu kuhusu kupeleka habari hii ya Ukombozi -Amen

#Nawewe sambaza taarifa hii kwa watu 12 utaona matokeo hata kabla ya mkesha huu.

Nipo njiani nakuja kama wengine wengi shida za kujitakia kwa waganga na wachawi Hapana
 
Wewe binti unanipa raha sana hapa Duniani mpaka shetani mwenyewe anaona wivu. Muda wote najiona nimeshiba kwa ajili ya raha tu unipayo.
Uende ukachukue mafuta upake simu yako bando litakuwa halikati na hutowalalamikia kamwe watoa huduma za internet😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom