MWAMPOSA: Unforgettable overnight tutumalizana na HIV, Nuksi, Mikosi, Mabalaa, Siasa na kama kila unachokifanya hakifanikiwi Kawe inakuhusu

Nitakuwepo hiyo ijumaa
 
I will be there
 
Dada yangu amepona HIV sasa anapendeza tu Asante Mungu wa Mwamposa
Wakristo mmerogwa akili,poleni,
 
Sifikirii kwenda kwa kuwa huyu anawadanganya wajinga kwa ukosefu wao wa maarifa
 
Upumbavu! Ile kauli ya kondoo wangu imetimia kwa Mwamposa kuwageuza watu kuwa kondoo kweli kweli!
 
Yesu alikufa ili Tupate yote hayo .. Thats a Simple Joke 😂😂
 
Bila shaka Watu watabubujikwa sana machozi ya furaha kwa kupata majibu ya maswali yao katika maisha yao yaliyoandamwa na changamoto mbalimbali.Nawasihi watu wanende wakakutane na mkono hodari wa Mungu wa Ibrahim ,ISaka na Yakobo.
Kwahiyo akawaumba watu woooote lakini akchagua watu wa tatu tu, wa kuitiwa jina lake.
 
Bila shaka Watu watabubujikwa sana machozi ya furaha kwa kupata majibu ya maswali yao katika maisha yao yaliyoandamwa na changamoto mbalimbali.Nawasihi watu wanende wakakutane na mkono hodari wa Mungu wa Ibrahim ,ISaka na Yakobo.
Sio mkono hodari wa Mungu wa Nape, Mwigulu na Bashe??
 
Nitakuwepo na familia Mungu ututendee kuanzia leo
 
Nitakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…