Mwamuzi aliyechezesha mpira kati ya Simba na JKT Ruvu ni vema afungiwe

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Nimefuatilia mchezo wa leo kati ya Simba na JKT Ruvu kwa kweli LAWAMA zielekezwe kwa mwamuzi aliyechezesha mpira wa leo. Dhahiri amemwona mlinda mlango kaumia na hayupo golini na yeye mwamuzi kushuhudia kuwa ameumia bado anaendelea kuchezesha mpira. Ndugu Mailnzi ukae na jopolako na huyu mwamuzi asimamishwe mara moja na pointi zote tatu za Simba zifutwe. Hatuwezi kuwavumilia Waamuzi wenye uamuzi wa upendeleo.
 
Makipa wa Tanzania wanakera na tabia yao ya kujiangusha makusudi ili kupoteza muda.

Hii imepelelea kutokuwepo issue za fair play kwa kuwa wao hawako fair.

Simba ndiyo walikuwa na mpira, na uamuzi wa kuutoa nje ulikuwa wao
... ILA kwa tabia hizi za makipa bora hawakucheza hiyo fair play.
 
ooh Mara ndanda wapewe point simba imechezesha wageni .mara ooh..

hivi kuna refa mpuuzi zaidi ya yule aliyekubali goli la mkono na kukataa goli halali mechi ya simba vs Yanga...au unajifanya umesahau baada ya kifurushi cha jero kugoma Jana?
 
Makosa upande wa waamuzi yapo siku zote.
Mikia wakinufaika wanakaa kimya kama hawapo.
Leo wamenufaika na makosa ya refa.

Ingenufaika Yanga muda huu Haji Manara angekuwa hewani anataka waamuzi watoke nje ya Tanzania.
 
Kipa kipind cha kwanza kajiangusha mara mbili, kwa muda mrefu anagala gala kama choko ivi mara nikashangaa eti wakaongeza dk tatu tu
 
Tatizo ni kwa sababu simba wameshinda, naamini ule mpira ulioingia golini kama ungetoka nje huu uzi wala usingekuja wala kusingekua na malalamiko!
 
Hakuna choo karibu ?
 
Ndala hawana pesa ya mishahara wanechanganyikiwa
 
hivi tofauti kati ya simba na yanga
ni point ngap
 
Naunga mkono hoja , apewe adhabu
 
Pole Sana mkuu!!pole aisee
 
Afungiwe kwa lipi? Baada ya kuzidiwa kipa analala hali ya kuwa yeye ndiye karuka ovyo juu ya mgongo wa mtu! Hivi yule jamaa wa Lyon alietandikwa daruga ndani ya 18,unasemaje.Mara nyingine mpunguze malalamiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…