barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ndala kunyweni maji mpunguze makali ya uchungu wa simba kuchanja mbuga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule kipa alidhani anacheza kabadi, unaacha goli mbali ili iweje! Refa bora alivyompotezea. Akili ikamrudia hakujiangusha tena!Nimefuatilia mchezo wa leo kati ya Simba na JKT Ruvu kwa kweli LAWAMA zielekezwe kwa mwamuzi aliyechezesha mpira wa leo. Dhahiri amemwona mlinda mlango kaumia na hayupo golini na yeye mwamuzi kushuhudia kuwa ameumia bado anaendelea kuchezesha mpira. Ndugu Mailnzi ukae na jopolako na huyu mwamuzi asimamishwe mara moja na pointi zote tatu za Simba zifutwe. Hatuwezi kuwavumilia Waamuzi wenye uamuzi wa upendeleo.
Watu wanatumia Ung'eng'e ili hali hawako vizuri kihivyo"fair pry"??
Mbona Kiswahili ni kizuri tu mkuu na kinajitosheleza.
Kama walivyo Fanya yanga vs mbeya City Yanga badala ya kucheza Fair play wakafunga bao.Kwahiyo Akifungiwa wewe utafaidika na nini? Ile ilitakiwa wachezaji wa simba wafanye fair pry lakini wao waliamua kufunga.
Na yule aliyechezesha kati ya Yanga na Ndanda...kipindi cha kwanza zilionyeshwa dakika za nyongeza nne lakini akacheza dakika za nyongeza nane!!!Nimefuatilia mchezo wa leo kati ya Simba na JKT Ruvu kwa kweli LAWAMA zielekezwe kwa mwamuzi aliyechezesha mpira wa leo. Dhahiri amemwona mlinda mlango kaumia na hayupo golini na yeye mwamuzi kushuhudia kuwa ameumia bado anaendelea kuchezesha mpira. Ndugu Mailnzi ukae na jopolako na huyu mwamuzi asimamishwe mara moja na pointi zote tatu za Simba zifutwe. Hatuwezi kuwavumilia Waamuzi wenye uamuzi wa upendeleo.
Hata aliyechezesha Kati ya Yanga na Lyon juzi afungiwe tu,, aliingeza karibia dk 12 ili Yanga ishinde tu.Na yule aliyechezesha kati ya Yanga na Ndanda...kipindi cha kwanza zilionyeshwa dakika za nyongeza nne lakini akacheza dakika za nyongeza nane!!!
wee umefungiwa?Nimefuatilia mchezo wa leo kati ya Simba na JKT Ruvu kwa kweli LAWAMA zielekezwe kwa mwamuzi aliyechezesha mpira wa leo. Dhahiri amemwona mlinda mlango kaumia na hayupo golini na yeye mwamuzi kushuhudia kuwa ameumia bado anaendelea kuchezesha mpira. Ndugu Mailnzi ukae na jopolako na huyu mwamuzi asimamishwe mara moja na pointi zote tatu za Simba zifutwe. Hatuwezi kuwavumilia Waamuzi wenye uamuzi wa upendeleo.
Ww unaongelea mapnz na hjui mpra umesahau ya tambwe au simba walipew point tat bada ya mwamuz kfngiw ongelea mpra na sio pumba unazoongeaNimefuatilia mchezo wa leo kati ya Simba na JKT Ruvu kwa kweli LAWAMA zielekezwe kwa mwamuzi aliyechezesha mpira wa leo. Dhahiri amemwona mlinda mlango kaumia na hayupo golini na yeye mwamuzi kushuhudia kuwa ameumia bado anaendelea kuchezesha mpira. Ndugu Mailnzi ukae na jopolako na huyu mwamuzi asimamishwe mara moja na pointi zote tatu za Simba zifutwe. Hatuwezi kuwavumilia Waamuzi wenye uamuzi wa upendeleo.
Na mbona golikpa hakudondoka tena baada ya kfngwaNimefuatilia mchezo wa leo kati ya Simba na JKT Ruvu kwa kweli LAWAMA zielekezwe kwa mwamuzi aliyechezesha mpira wa leo. Dhahiri amemwona mlinda mlango kaumia na hayupo golini na yeye mwamuzi kushuhudia kuwa ameumia bado anaendelea kuchezesha mpira. Ndugu Mailnzi ukae na jopolako na huyu mwamuzi asimamishwe mara moja na pointi zote tatu za Simba zifutwe. Hatuwezi kuwavumilia Waamuzi wenye uamuzi wa upendeleo.
Hata aliyechezesha Kati ya Yanga na Lyon juzi afungiwe tu,, aliingeza karibia dk 12 ili Yanga ishinde tu.
Mwamuzi ametoka spain yuleMakosa upande wa waamuzi yapo siku zote.
Mikia wakinufaika wanakaa kimya kama hawapo.
Leo wamenufaika na makosa ya refa.
Ingenufaika Yanga muda huu Haji Manara angekuwa hewani anataka waamuzi watoke nje ya Tanzania.
Nimefuatilia mchezo wa leo kati ya Simba na JKT Ruvu kwa kweli LAWAMA zielekezwe kwa mwamuzi aliyechezesha mpira wa leo. Dhahiri amemwona mlinda mlango kaumia na hayupo golini na yeye mwamuzi kushuhudia kuwa ameumia bado anaendelea kuchezesha mpira. Ndugu Mailnzi ukae na jopolako na huyu mwamuzi asimamishwe mara moja na pointi zote tatu za Simba zifutwe. Hatuwezi kuwavumilia Waamuzi wenye uamuzi wa upendeleo.
Ingekuwa ni Yanga basi balaa lake lisingekuwa dogo ila kwa vile ni Simba poa tuuNimefuatilia mchezo wa leo kati ya Simba na JKT Ruvu kwa kweli LAWAMA zielekezwe kwa mwamuzi aliyechezesha mpira wa leo. Dhahiri amemwona mlinda mlango kaumia na hayupo golini na yeye mwamuzi kushuhudia kuwa ameumia bado anaendelea kuchezesha mpira. Ndugu Mailnzi ukae na jopolako na huyu mwamuzi asimamishwe mara moja na pointi zote tatu za Simba zifutwe. Hatuwezi kuwavumilia Waamuzi wenye uamuzi wa upendeleo.