Mwamuzi aliyechezesha mpira kati ya Simba na JKT Ruvu ni vema afungiwe

ooh Mara ndanda wapewe point simba imechezesha wageni .mara ooh..

hivi kuna refa mpuuzi zaidi ya yule aliyekubali goli la mkono na kukataa goli halali mechi ya simba vs Yanga...au unajifanya umesahau baada ya kifurushi cha jero kugoma Jana?
Ahahahaha umetwma cheche akuna atakae kujibu
 
Yanga kuleni wembe na ndimu mmezee na juis ya pilipili...na bado ...kama nyie vidume mtutoe pale kwenye usukani...kila saa kelele tu...ingekua labda ni golikipa wa simba kafanyiwa hivo mnavosema sjui mngekuja hapa mngesemaje ? Si ndo mngeshangalia kabisa...
 
Kwahiyo wewe ulitaka afanyeje?
 
Na yule wa Jana ambaye yondani anampiga mchezaji wa afrika Lyon kwanja mbele yake wamfungie pia na kuwapa penalty yao.
 
Yanga buanaaaaa! Shida sana. Yaani wao wakila dagaa, basi anataka na mwenzie ale dagaa, hapana tumetofautiana vipato, mnakoelekea mtakula ugali kwa picha ya samaki, bado mtaombea Simba ifungwe, lakini Mnyama ni mbele kwa mbeleeee
Wamekaa kama wake wenza, hahaaa...! Simba haturudi nyuma.
 
We ya Yanga povu linakutoka kwa yasiyokuhusu,,mbona Jana Tambwe alifunga kwa mkono hatukuongea!!??
 
Wekundu wa Msimbazi ni moto wa kuotea mbali...Yanga punguzeni maneno.
 
Yanga buanaaaaa! Shida sana. Yaani wao wakila dagaa, basi anataka na mwenzie ale dagaa, hapana tumetofautiana vipato, mnakoelekea mtakula ugali kwa picha ya samaki, bado mtaombea Simba ifungwe, lakini Mnyama ni mbele kwa mbeleeee
Hahah! tunapishana sisi tunarudi wao wanaenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…