Mwamuzi aliyechezesha mpira kati ya Simba na JKT Ruvu ni vema afungiwe

Ndala kunyweni maji mpunguze makali ya uchungu wa simba kuchanja mbuga.
 
Umenikumbusha msimu wa 2005/2006 ilibidi polisi Dodoma wajitoe ili simba anyang'anywe pointi sita halafu kilichonikera mwaka ule Majimaji wakiwa na Mshambuliaji Steven Mapunda 'Garincha' wapigwe goli za kutosha na Yanga ....Yanga akabeba ubingwa huku mashabiki wake wakiimba CCM CCM na Majimaji wakashuka daraja....


Samahani nipo nje ya mada ila nimekumbuka tuu suala la kunyang'anywa pointi.
 
Yule kipa alidhani anacheza kabadi, unaacha goli mbali ili iweje! Refa bora alivyompotezea. Akili ikamrudia hakujiangusha tena!
 
We hata mpira huangaliaga wa majuu nn keeper aliclear mpira then akaanguka ulitegemea mwamuz apulize kipenga kwan alichezewa rafu? Et kipa hakua golini ulitegemea mwamuzvamwambie amka nenda golin ukazuie ama? Acha uyanga ndugu tembea na fact za mpira na sio ushabiki tuu
 
Na yule aliyechezesha kati ya Yanga na Ndanda...kipindi cha kwanza zilionyeshwa dakika za nyongeza nne lakini akacheza dakika za nyongeza nane!!!
 
wee umefungiwa?
 
Vitu vingine haviitaji ujuaji jaman mkodisho fc kuweni wapole mlivyo zoeya nyinyi mbeleko mnajua had ss mbeleko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbeleko nyie wa kimataifa ss wa mchangani tu acheni tukomae wenyewe kama watoto wakambo SIMBA NGUVU MOJA
 
Ww unaongelea mapnz na hjui mpra umesahau ya tambwe au simba walipew point tat bada ya mwamuz kfngiw ongelea mpra na sio pumba unazoongea
 
Na mbona golikpa hakudondoka tena baada ya kfngwa
 
Mkuu umesahau simba na Lyon refa aliongeza dkk 7 lkn akaendelea kuchezesha mpk Lyon wakapata bao. Km simba wangefunga siku ile ungechekelea pia.
Hata aliyechezesha Kati ya Yanga na Lyon juzi afungiwe tu,, aliingeza karibia dk 12 ili Yanga ishinde tu.
 
Makosa upande wa waamuzi yapo siku zote.
Mikia wakinufaika wanakaa kimya kama hawapo.
Leo wamenufaika na makosa ya refa.

Ingenufaika Yanga muda huu Haji Manara angekuwa hewani anataka waamuzi watoke nje ya Tanzania.
Mwamuzi ametoka spain yule
 
 
Ingekuwa ni Yanga basi balaa lake lisingekuwa dogo ila kwa vile ni Simba poa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…