Goli gani alilokataa?? Liligusa nyavu???Hata alipomaliza kuchezesha mechi yenu alipokataa goli aliteuliwa kuchezesha michuano ya AFCON...
Mpk mtakapoacha ushubwada ndo waarabu na viongozi wa juu wa CAF wenye timu zao wataacha kumiliki soka la Africa...
Huyu atakuwa co wa 5imba nadhaniHata alipomaliza kuchezesha mechi yenu alipokataa goli aliteuliwa kuchezesha michuano ya AFCON...
Mpk mtakapoacha ushubwada ndo waarabu na viongozi wa juu wa CAF wenye timu zao wataacha kumiliki soka la Africa...
huyu ndio aina ya muamuzi tunayemtaka. sio wale akina kefa kayombo watu wa ovyo kabisa.Mwamba dehane
N MMOJA WA WAAMUZI WALIOCHAGULIWA KUCHEZESHA MECHI ZA MAREKANI KOMBE la DUNIA LA VILABU
Mwambaaaa nyotaaa inazidi kungaaa
Kifupi n ref born tajiri africaHuyo jamaa kila mashindano makubwa huwa anaitwa.
Ni among best referee in Africa.
Huwa halei ujinga wala upumbavu.
Huyo sio refa wa kumnunua na kuchezesha mechi dakika za nyongeza 20 na kukupa penalty ili ushinde.
Na vipi lile goli walilokafunga berkane kwao likakataliwa?Hata alipomaliza kuchezesha mechi yenu alipokataa goli aliteuliwa kuchezesha michuano ya AFCON...
Mpk mtakapoacha ushubwada ndo waarabu na viongozi wa juu wa CAF wenye timu zao wataacha kumiliki soka la Africa...