Diara matobo ndo ugonjwa wake,hata Okra alimpiga toboSikuwa naangalia mpira dakika za mwanzo ambapo Geita Gold wamefunga bao safi la kudhalilisha.
Kutokana na tabia ya waamuzi kuua move ya timu pinzani wa Yanga, imekuwaje leo akawaacha Geita Gold hadi wakadhalilisha mtu mzima hivi?
Baada ya tobo naona umetoka nafasi ya pili na kuongoza ligi, endelea kupanua bakuli lako utaendelea kupewa unachostahiliSikuwa naangalia mpira dakika za mwanzo ambapo Geita Gold wamefunga bao safi la kudhalilisha.
Kutokana na tabia ya waamuzi kuua move ya timu pinzani wa Yanga, imekuwaje leo akawaacha Geita Gold hadi wakadhalilisha mtu mzima hivi?
siku hizi wimbo wa clean sheet umeishaDiara matobo ndo ugonjwa wake,hata Okra alimpiga tobo
Kwasasa iyo ndio aina ya Makombe Yao hawana sehemu Waliyo achwa wapumue. Wame banwa Kila Kona.Kuna watu wa ajabu wanashangilia tobo wakati wao hata wakishinda wanabaki nafasi ileile
Kwani clean sheet Manura anazo ngapi na diara ngapi?siku hizi wimbo wa clean sheet umeisha
Sijahesabu maana hujataja pa kuanzia, ila walau katika mechi tatu za mwisho walizocheza, Vipers Uganda, Vipers Dar na Mtibwa, Manula hajaruhusu goli, huku kwingine kuna Prisons, AS Bamako na Geita Gold, Diara ameruhusu magoli mara mbiliKwani clean sheet Manura anazo ngapi na diara ngapi?
π€£π€£π€£πππ€£πsiku hizi wimbo wa clean sheet umeisha
Wewe utakuwa chiz.iSijahesabu maana hujataja pa kuanzia, ila walau katika mechi tatu za mwisho walizocheza, Vipers Uganda, Vipers Dar na Mtibwa, Manula hajaruhusu goli, huku kwingine kuna Prisons, AS Bamako na Geita Gold, Diara ameruhusu magoli mara mbili