Mwamuzi kashindwaje kuwabeba yanga hadi kipa anapigwa dobo?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Sikuwa naangalia mpira dakika za mwanzo ambapo Geita Gold wamefunga bao safi la kudhalilisha.

Kutokana na tabia ya waamuzi kuua move ya timu pinzani wa Yanga, imekuwaje leo akawaacha Geita Gold hadi wakadhalilisha mtu mzima hivi?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbeleko fc leo wamepigwa cha fasta waneachwa wapumzike litafutwe lingine 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sikuwa naangalia mpira dakika za mwanzo ambapo Geita Gold wamefunga bao safi la kudhalilisha.

Kutokana na tabia ya waamuzi kuua move ya timu pinzani wa Yanga, imekuwaje leo akawaacha Geita Gold hadi wakadhalilisha mtu mzima hivi?
Diara matobo ndo ugonjwa wake,hata Okra alimpiga tobo
 
Baada ya kushangilia tobo kilichofata
Sikuwa naangalia mpira dakika za mwanzo ambapo Geita Gold wamefunga bao safi la kudhalilisha.

Kutokana na tabia ya waamuzi kuua move ya timu pinzani wa Yanga, imekuwaje leo akawaacha Geita Gold hadi wakadhalilisha mtu mzima hivi?
Baada ya tobo naona umetoka nafasi ya pili na kuongoza ligi, endelea kupanua bakuli lako utaendelea kupewa unachostahili
 
Screenshot_20230312_205921_Instagram.jpg
 
Unaambiwa half time geita walipigwa mkwara mzito watu washachukua hela halafu mnataka kuharibu shughuli wakaona isiwe tabu wakaachia vijana wa watu
 
Kwani clean sheet Manura anazo ngapi na diara ngapi?
Sijahesabu maana hujataja pa kuanzia, ila walau katika mechi tatu za mwisho walizocheza, Vipers Uganda, Vipers Dar na Mtibwa, Manula hajaruhusu goli, huku kwingine kuna Prisons, AS Bamako na Geita Gold, Diara ameruhusu magoli mara mbili
 
Siyo tu tobo, bado kidogo amvunje mgongo Didi wa watu, siyo kwa mikunjo hii 🤣😂🤣

20230313_094936.jpg
 
Sijahesabu maana hujataja pa kuanzia, ila walau katika mechi tatu za mwisho walizocheza, Vipers Uganda, Vipers Dar na Mtibwa, Manula hajaruhusu goli, huku kwingine kuna Prisons, AS Bamako na Geita Gold, Diara ameruhusu magoli mara mbili
Wewe utakuwa chiz.i
 
Nyie endeleeni kufurahia tobo,sisi tunafurahia ubingwa,akili zenu simba ni uchwawi tu na.mganga wenu tunamjua kawa shoga na bwana wake yupo jangwani anamkuna
 
Back
Top Bottom