DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Mwamuzi Kennedy Padi kutoka Ghana ambaye ndiye alichezesha mchezo wa Ligi Kuu baina ya Hearts Of OAK dhidi ya Asante Kotoko amelalamika kwamba tangu amalize kuchezesha mchezo huo amekuwa akishindwa "KUSIMAMISHA UUME" wake huku akidhania sababu inaweza kuwa ni penati ya Utata aliowapatia Hearts Of OAK.
Mechi baina ya Timu hizo mbili mahasimu inahadhi sawa na unavoona Simba Na Yanga hapa kwetu au Wydad na Raja kule Casablanca.
Baada ya mwamuzi huyo kujitokeza hadharani na kusema jambo hilo mashabiki wengi wa soka hasa wa upande wa Asante Kotoko wamehusisha tukio hili na Imani za kishirikina huku wakimtaka Refa huyo awafate na kuwaomba radhi kwa tukio lile kwani liliwakera.
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app