Mwamuzi Kennedy Padi kutoka Ghana ashindwa kusimamisha uume

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Mwamuzi Kennedy Padi kutoka Ghana ambaye ndiye alichezesha mchezo wa Ligi Kuu baina ya Hearts Of OAK dhidi ya Asante Kotoko amelalamika kwamba tangu amalize kuchezesha mchezo huo amekuwa akishindwa "KUSIMAMISHA UUME" wake huku akidhania sababu inaweza kuwa ni penati ya Utata aliowapatia Hearts Of OAK.

Mechi baina ya Timu hizo mbili mahasimu inahadhi sawa na unavoona Simba Na Yanga hapa kwetu au Wydad na Raja kule Casablanca.

Baada ya mwamuzi huyo kujitokeza hadharani na kusema jambo hilo mashabiki wengi wa soka hasa wa upande wa Asante Kotoko wamehusisha tukio hili na Imani za kishirikina huku wakimtaka Refa huyo awafate na kuwaomba radhi kwa tukio lile kwani liliwakera.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Hawa marefa wanaoibeba because Simba hii itawashikisha adabu.
Kale kadada unakapa hedhi ya mwaka mzima
 
Vipi umeshapata Kombe la Ushindi la kuwa mla mbususu na msambazaji bora wa UKIMWI duniani? Pambana mkuu, karibia uvikwe taji.😀😃😄😁😆😅
Ah wee jamaaa phaller kweli. Hapana bwana mie nataka taji la mr kibamia....mwanaume mwenye uume mdogo kabisa duniani ndio taji nalo taka. Kokote kule usikiapo shindano hilo usisite kunitonya
 
Bado hajasema, yaaani hadi aseme [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio basi tena hakuna kula ki masihara!
 
Hiyo tech-uchawi ije bongo aisee, kuna marefa wanakera mfano RJG na TM
 
Back
Top Bottom