J Johnson2012 Member Joined Jan 27, 2012 Posts 93 Reaction score 12 Apr 10, 2012 #1 wadau naomba mnijuze ilivyokuwa mpaka mwamuzi alivyoamua kumshushia kipondo mchezaji ktk ligi ya DRFA hii inasikitisha sana kama sio kuchekesha wa Tanzania tuna vijimambo sana
wadau naomba mnijuze ilivyokuwa mpaka mwamuzi alivyoamua kumshushia kipondo mchezaji ktk ligi ya DRFA hii inasikitisha sana kama sio kuchekesha wa Tanzania tuna vijimambo sana
by default JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 839 Reaction score 215 Apr 10, 2012 #2 Refa anaingia na mawe mfukon badala ya kadi,imenikumbusha henzi za gazeti la sani bush vs town
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Apr 10, 2012 #3 Na nyie si mlimpa kisago mwamuzi? Mkuki kwa nguruwe tu?