mwamuzi kumtwanga jiwe mchezaji

mwamuzi kumtwanga jiwe mchezaji

Johnson2012

Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
93
Reaction score
12
wadau naomba mnijuze ilivyokuwa mpaka mwamuzi alivyoamua kumshushia kipondo mchezaji ktk ligi ya DRFA hii inasikitisha sana kama sio kuchekesha wa Tanzania tuna vijimambo sana
 
Refa anaingia na mawe mfukon badala ya kadi,imenikumbusha henzi za gazeti la sani bush vs town
 
Back
Top Bottom