Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hakuna raia wa Iran mwenye akili timamu akafurahia maisha nchini kwake Iran. Wote hao ukiwapa nafasi ya kuishi nje ya Iran na ajira hawafikirii mara mbili kukubali hiyo offer.Kombe la Dunia la mwaka huu limegubikwa na siasa....
Nina hamu ifike hatua tuone mechi baina ya USA vs Iran au Iran vs Israel
Nakazia Ingawa Hilo Halisemwi Popoteathari za ugaidi