Kuna timu imeshaona itaaibika iwapo mechi zote za ddrby zitachezeshwa na waamuzi kutoka nje na kwa hiyo imeanza kampeni kali ya kuonesha mwamuzi wa Kenya aliyechezesha mechi ya derby hafai.
Simba huwa wamezubaa na kuziacha kelele hizi ambazo zinaweza kusababisha kughairishwa kwa utaratibu wa kuleta waamuzi kwenye mechi kama hizi.
Ukweli ni kwamba tunahitaji waamuzi sio tu wanaojua kazi yao bali wanaofuata maadili ya kazi zao pia.
Waamuzi wetu hususan wale wanaoaminiwa k.v Arajiga ameonesha kufanya makosa mengi yanayoibeba timu moja kwenye mechi kubwa tena kwa kujirudia rudia.
Hii inaonesha wazi upendeleo anaofanya.
Hatutaki waamuzi wanaopendelea timu moja wanayoishabikia moyoni.Tunataka waamuzi ambao hata wakifanya makosa basi hasiwe yanaigharimu timu moja tu na kuinufaisha timu moja tu.
Binadamu hufanya makosa lakini makosa yanayoonekana kuibeba timu moja tu,hatuwezi kuwa radhi nayo.
Tunataka mpira uchezwe maana watu wamewekeza pesa nyingi sana kwenye soka.
Tuache ubabaishaji tuache mpira uchezwe kwa haki