Mwamvita Makamba anusurika kupigwa risasi katika maandamo

Huyu bado anahangaika na mabwana wa kizungu tu hadi nchi za watu??..ukute alikua na bwana mzungu kwenye gari ndo wakakutana na wenye nchi na hasira zao.. lazima waku shoot tu
 
Wakati wanabaguliwa na wazungu dunia nzima alisimama na kushiriki kulia nao, ajabu leo wao ndio wanabagua waafrika wenzao.

Kweli masikini akipata makalio hulia mbwata....inafikia mahali mtu kufikiri kuwa wale wazungu walikuwa sahihi.
 
Dah mungu amuweke ili mwakani awe Dada Wa rais ya muungano Wa Tanzania
 
Mkuu King Kong III hebu fafanua kidogo huo uhuni aliomfanyia

Mme wake mwamvita mzungu alikuwa ABG mgodini mwaka 2010 alitoa bil 3 na ushee kwa ajili ya kumuwezesha february kikampeni kupitia mwammy,baadhi ya fedha mwmmy akanunua jumba mikocheni la 1.5b na nyingine akampatia february,mzungu walimuahidi mambo kedekede ikiwemo la kumpeleka ikulu akaonane na raisi(dili za february kabla hajawa mb) na pia wakamdanganya kwamba february atateuliwa waziri wa madini kwahyo miradi na ufisadi mwingi huyo mzungu atapewa kwenye sector ya madini,at the end mwammy akaona kuna deni la ahadi lukuki la kulilipa kwa mzungu,so wakaanzisha figisu figisu mzungu wa watu akafukuzwa tz wao wakajitahifisha mali zake.
 

Ndio maana nikasema bora wangemshoot tu.. ila makambas family sio familia ya kitoto, wamebarikiwa, sema hizo sura sasa za watoto, mwanamke hajulikani, mwanaume hajulikani, sura zao kama wachawi yeye na januu
 

Kuonana na rais kunahitaji kutoa bilions! Acha kuwa na mawazo kama mlevi wa komoni..
 
Huyu dada nae kazidi show off...mi ananikeraga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…