Mme wake mwamvita mzungu alikuwa ABG mgodini mwaka 2010 alitoa bil 3 na ushee kwa ajili ya kumuwezesha february kikampeni kupitia mwammy,baadhi ya fedha mwmmy akanunua jumba mikocheni la 1.5b na nyingine akampatia february,mzungu walimuahidi mambo kedekede ikiwemo la kumpeleka ikulu akaonane na raisi(dili za february kabla hajawa mb) na pia wakamdanganya kwamba february atateuliwa waziri wa madini kwahyo miradi na ufisadi mwingi huyo mzungu atapewa kwenye sector ya madini,at the end mwammy akaona kuna deni la ahadi lukuki la kulilipa kwa mzungu,so wakaanzisha figisu figisu mzungu wa watu akafukuzwa tz wao wakajitahifisha mali zake.
..ila makambas family sio familia ya kitoto, wamebarikiwa, sema hizo sura sasa za watoto, mwanamke hajulikani, mwanaume hajulikani, sura zao kama wachawi yeye na januu
Haijui huyo dada near death experience ni zaidi ya kunusurika au kukoswakoswa hiyo kitu ni nyingine kabisa!!!usiombe kuchungulia kaburi!!![/QUOTE
She so soft kwake it was bigger and terrify anastahili kuiita near ilaa kwa nunda yoyote hiyo ni kawaida
Mme wake mwamvita mzungu alikuwa ABG mgodini mwaka 2010 alitoa bil 3 na ushee kwa ajili ya kumuwezesha february kikampeni kupitia mwammy,baadhi ya fedha mwmmy akanunua jumba mikocheni la 1.5b na nyingine akampatia february,mzungu walimuahidi mambo kedekede ikiwemo la kumpeleka ikulu akaonane na raisi(dili za february kabla hajawa mb) na pia wakamdanganya kwamba february atateuliwa waziri wa madini kwahyo miradi na ufisadi mwingi huyo mzungu atapewa kwenye sector ya madini,at the end mwammy akaona kuna deni la ahadi lukuki la kulilipa kwa mzungu,so wakaanzisha figisu figisu mzungu wa watu akafukuzwa tz wao wakajitahifisha mali zake.
Kuonana na rais kunahitaji kutoa bilions! Acha kuwa na mawazo kama mlevi wa komoni..
Ndio maana nikasema bora wangemshoot tu.. ila makambas family sio familia ya kitoto, wamebarikiwa, sema hizo sura sasa za watoto, mwanamke hajulikani, mwanaume hajulikani, sura zao kama wachawi yeye na januu
Kuonana na rais kunahitaji kutoa bilions! Acha kuwa na mawazo kama mlevi wa komoni..
Mie nashangaa kuwalaumu wa south afrika kipindi wanapambana na makaburu tulikuwa tunakimbiza ngedere leo wamemtoa tunazinduka na kukimbilia kwao. Leo unakuta kijana hapigi kura wala hana mpango hata wa kujiandikisha. Wengine wanatumiwa na wanasiasa kuwashawishi wagombee huku ni mafusadi wakubwa. Mambo yanapoharibika kukimbilia nchi za wenzao zilizojitahidi kupiginania ustawi wao na kuleta msongamano. Wapigwe tu nasema wapigwe tu. Tunauchaguzi mwaka huu Mkoloni kaburu mweusi ccm tumwondoe saa nne asubuhi ili Tanganyika yenu istawii.
Duh basi Kama hivyo huyu dada ana dhambi kubwa...itakuja kumkost siku moja.
Wewe acha generalization za ajabu ajabu labda kama unaongelea waafrika wa Misri.Africans are more racists than any other race
Duh binamu usiseme hivyo bwana ungejuwa navyomzimika huyo dada
Mbona ni ka-polygon flani Mpwa? Umevutiwa na ukubwa wa jina la mzazi nini?