Mwamvita Makamba anusurika kupigwa risasi katika maandamo

Mme wake mwamvita mzungu alikuwa ABG mgodini mwaka 2010 alitoa bil 3 na ushee kwa ajili ya kumuwezesha february kikampeni kupitia mwammy,baadhi ya fedha mwmmy akanunua jumba mikocheni la 1.5b na nyingine akampatia february,mzungu walimuahidi mambo kedekede ikiwemo la kumpeleka ikulu akaonane na raisi(dili za february kabla hajawa mb) na pia wakamdanganya kwamba february atateuliwa waziri wa madini kwahyo miradi na ufisadi mwingi huyo mzungu atapewa kwenye sector ya madini,at the end mwammy akaona kuna deni la ahadi lukuki la kulilipa kwa mzungu,so wakaanzisha figisu figisu mzungu wa watu akafukuzwa tz wao wakajitahifisha mali zake.

Duh basi Kama hivyo huyu dada ana dhambi kubwa...itakuja kumkost siku moja.
 
Haijui huyo dada…near death experience ni zaidi ya kunusurika au kukoswakoswa hiyo kitu ni nyingine kabisa!!!usiombe kuchungulia kaburi!!![/QUOTE
She so soft kwake it was bigger and terrify anastahili kuiita near ilaa kwa nunda yoyote hiyo ni kawaida
 
Mme wake mwamvita mzungu alikuwa ABG mgodini mwaka 2010 alitoa bil 3 na ushee kwa ajili ya kumuwezesha february kikampeni kupitia mwammy,baadhi ya fedha mwmmy akanunua jumba mikocheni la 1.5b na nyingine akampatia february,mzungu walimuahidi mambo kedekede ikiwemo la kumpeleka ikulu akaonane na raisi(dili za february kabla hajawa mb) na pia wakamdanganya kwamba february atateuliwa waziri wa madini kwahyo miradi na ufisadi mwingi huyo mzungu atapewa kwenye sector ya madini,at the end mwammy akaona kuna deni la ahadi lukuki la kulilipa kwa mzungu,so wakaanzisha figisu figisu mzungu wa watu akafukuzwa tz wao wakajitahifisha mali zake.

Kumbe ana roho mbaya kama sura yake?😕😱
Si amezaa naye lakini?
By the way kwa vile ni
Mzungu alieingizwa mjini kazi nzuri.Mtoto wa fisadi lazima uwe fisadi.
 
Ndio maana nikasema bora wangemshoot tu.. ila makambas family sio familia ya kitoto, wamebarikiwa, sema hizo sura sasa za watoto, mwanamke hajulikani, mwanaume hajulikani, sura zao kama wachawi yeye na januu

Ha ha ha....nimeamka na stress zangu zimeisha.
warumi
 
Last edited by a moderator:
dhambi za baba zenu mtaanza kuzilipia ninyi si unawasikia watanzania?
 
Mie nashangaa kuwalaumu wa south afrika kipindi wanapambana na makaburu tulikuwa tunakimbiza ngedere leo wamemtoa tunazinduka na kukimbilia kwao. Leo unakuta kijana hapigi kura wala hana mpango hata wa kujiandikisha. Wengine wanatumiwa na wanasiasa kuwashawishi wagombee huku ni mafusadi wakubwa. Mambo yanapoharibika kukimbilia nchi za wenzao zilizojitahidi kupiginania ustawi wao na kuleta msongamano. Wapigwe tu nasema wapigwe tu. Tunauchaguzi mwaka huu Mkoloni kaburu mweusi ccm tumwondoe saa nne asubuhi ili Tanganyika yenu istawii.
 
Mkuu tuliwasaidia sana hawa watu Mazimbu,moja ya watoto wa south ni John Dilinga DJ JD.
 
Duh basi Kama hivyo huyu dada ana dhambi kubwa...itakuja kumkost siku moja.

Na vipi kuhusu yule Mke wa Mzungu aliyevua nguo pale Dar Airport alipopewa amri ya kuondoka TZ. Ili mzungu amuowe mwanamama...????hii story ni kweli au udaku... ????
 
Leo kapigiwa simu na Rais baada ya kukoswa koswa kufa....haya bwana ImageUploadedByJamiiForums1429229327.817113.jpg
 
Back
Top Bottom