Mwamvita Makamba apandishwa cheo

Status
Not open for further replies.
Huyo dada nasikia ana nguvu kuliko MD wa Vodacom atakalo yeye litafanyika hata kama la upuuzi!!ana weka washikajizake hata kama vilaza!!soon nasikia atampeleka Twisa awe nafasi ya Mafuru
 
Huyo dada nasikia ana nguvu kuliko MD wa Vodacom atakalo yeye litafanyika hata kama la upuuzi!!ana weka washikajizake hata kama vilaza!!soon nasikia atampeleka Twisa awe nafasi ya Mafuru
duh Twisa tena? tatizo nasikia MD anakula pale so mapenzi ya kazini mwishowe ndo huo md anakosa say demu anafanya analotaka. lkn kila kitu kina mwisho MD kimkataba kikiisha si atakuja mwingine, unamkumbuka yule mbabe aliyepelekwa Mozambique kwa kutomnyenyekea rostam? jamaa alikuja akafuta tuvyeo vyeo tote twa kutunga halafu akamwambia rosta we are doing business and not mere cheap politics fisadi mbio kwa jk eti simtaki huyu jamaa huwezi amini yule MD alipewa 24hrs aondoke bongo so what goes around always comes around!
 
kaachia na yule mzungu baada ya kufumaniwa akuwa ana uhusian na boss wake haafu ni small house ya rostama aziz,si unaona nowdays ni tanzanites kwa kwenda mbele nakwambia umjini utawaachisha wengi kwenye ndoa zao.

Hapa inaonyesha dhahiri kwamba anapakaziwa kwa kuwa tu ni binti. Kwani wanawake hawana akili mpaka walale na mabosi wao ndiyo wapewe upendeleo? Mbona madarasani huwa tunawapita wanaume, iweje leo mwanamke akipata cheo itakuwa ana msururu wa mabwana?

Jee Mwamvita hakusoma hata mukaleta maneno ya kejeli hapa?

Male chauvinist p...!
 
Angekuwa hajasoma binafsi naaminiwasingempa hiyo nafasi, ni lazima kasoma shule na anacheti kizuri tu pia yuko bright, amasivyo tupe CV yake tuthibitishe maneno yako
 
Huyu dada anajua bana..tofauti kabisa na mzee.
 

we nawe umetutokea wapi aisee... mara ngapi wanagawa kwa saababu ya cheo achilia cheo mara ngapi mnagawa kwa sababu ya vitz?? usituzingue hapa...
 
Kumbe hata wasomi wana matatizo mengi tu, sijutii mimi sikusoma najivunia ufahamu.
 
sasa naanza kuamini ule msemo..'a successful woman is either single,divorced or widow'


What do you mean?
The list of successful married women is endless.. Hilary Clinton, The Queen Elizabeth, Margaret Thatcher, the late Mrs Ghandi, Prof Marjorie Mbilinyi, Dr. Asha Rose Migilo, mh Mukangara.....
 



wajemeni, na kaka yake Januari Makamba amelala na nani??????


You know what, Karl Marx, the Greatesr German Philpsopher, once said: The ideas of the ruling class are the ruling ideas.... wazee wanawapeleka watoto wao shule nzuri, wanapata elimu nzuri, wanapata vyeti vizuri, then, wanaacha watoto wao kwenye system.... wenzangu mie, poleni....
 
Siachi kujiuliza ya ndoa yake yanaingiaje hapa? Kwa nini iwe ngumu kuamini Mwanamke 'kutoka' kimaisha? fungueni mitazamo
 

Sawa sawa Vuvuzela, waambie!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…