Tetesi:Mwana CCM adai mwezi Julai 2020, viongozi wa upinzani hasa Mbowe, Lissu, Zitto, Maalim Seif nk kuhukumiwa vifungo jela na CCM kupita bila kupingwa

Unaongea nini wewe
Eti serikali haiwezi kuwa na uoga kijivyo!!
Tundu Lissu alipigwaje Risasi? Uoga tu wakiwendawazimu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh...!, nadhani hili ni bandiko la hisia tuu, CCM na serikali yake haiwezi kuwa na uoga kihivyo kwasababu Rais Magufuli anakubalika sana, na kwa track record ya utendaji wake so far, ushindi wa kishindo kwa CCM ni uhakika!, wembe ule ule uliotumika kuwanyoa wapinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, utatumika kwenye uchaguzi mkuu.
Tume ya uchaguzi NEC ni tume huru japo sio shirikishi.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji uchaguzi huru na wa haki.
Matokeo ya uchaguzi mkuu ni ushindi wa kishindo cha asilimia 93% kwa CCM, hizo asilimia 7% ni Pemba na yale majimbo mawili ya Zanzibar ambayo yatakwenda ACT!.
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...

Ili Nchi Iendelee Inahitaji:-
1 . Watu
2 . Uongozi Bora
3 . Siasa Safi
4 . Ardhi
Maadui Wa Nchi Yetu Ni :-
1 . Ujinga
2 . Umasikini
3 . Maradhi
***************************************************
Mkia Wa Mbuzi Unafagia Pale Tu Unapolala.
Sikio La Kufa Litasikia Kwa Mungu
Sikio La Kufa Halisikii Dawa
🤣😂😁
Aisee pascal!!!! Tafadhali sana!! Nenda taratibu na njaa zako,usije kushangaa watu watakaposhangilia mauti yako,tunakuheshimu sana!! Na tunaamini wewe si kama wao,ila unawasujudia tu ili upate mkate wako,ila utakapo undermine uhai wa binadamu mwenzako kwa ajili ya hicho kipande cha mkate tutamuomba Mwenyezi Mungu muweza wa yote akushughulikie,na atakushughulikia mbele ua macho yetu!! Amina.
Duh...!, nadhani hili ni bandiko la hisia tuu, CCM na serikali yake haiwezi kuwa na uoga kihivyo kwasababu Rais Magufuli anakubalika sana, na kwa track record ya utendaji wake so far, ushindi wa kishindo kwa CCM ni uhakika!, wembe ule ule uliotumika kuwanyoa wapinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, utatumika kwenye uchaguzi mkuu.
Tume ya uchaguzi NEC ni tume huru japo sio shirikishi.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji uchaguzi huru na wa haki.
Matokeo ya uchaguzi mkuu ni ushindi wa kishindo cha asilimia 93% kwa CCM, hizo asilimia 7% ni Pemba na yale majimbo mawili ya Zanzibar ambayo yatakwenda ACT!.
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...
Duh...!, nadhani hili ni bandiko la hisia tuu, CCM na serikali yake haiwezi kuwa na uoga kihivyo kwasababu Rais Magufuli anakubalika sana, na kwa track record ya utendaji wake so far, ushindi wa kishindo kwa CCM ni uhakika!, wembe ule ule uliotumika kuwanyoa wapinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, utatumika kwenye uchaguzi mkuu.
Tume ya uchaguzi NEC ni tume huru japo sio shirikishi.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji uchaguzi huru na wa haki.
Matokeo ya uchaguzi mkuu ni ushindi wa kishindo cha asilimia 93% kwa CCM, hizo asilimia 7% ni Pemba na yale majimbo mawili ya Zanzibar ambayo yatakwenda ACT!.
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...
Mbona hukumu ya kesi zao haitolewi hii uleta shaka hisia lisemwalo lipo thus kina mashinji na wengine wamewahi kupigwa chapa na kuusujudia msalaba ili wapone
Badala ya kukaa na kutafakari nini kinaendelea kwenye chama chenu hadi viongozi wanahama, mnabaki kuandika mambo ya kipumbavu mitandaoni. Mlibebea bango eti Mzee Makamba na Mzee Kinana Makatibu Wakuu wa zamani wa CCM wajitoa CCM. Mkajaza threads humu weeeeee! Mkajaza koments weeee! Mwisho wa siku, Katibu Mkuu wenu wa zamani ndio akahamia CCM. Hiyo Paschal Mayalla anaiita Karma!
Uliona wapi simba au yanga ikafa kwa kuondokewa na wachezaji,timu ni mashabiki sio wachezaji hao usajiliwa kila msimu.Upinzani ni wanachama sio viongozi, uliona wapi mmea ukafa kwa kuondokewa na magugu
Narudia tena, kama kweli kutakuwa na tume huru, Magufuli hawez kushinda dhidi ya yoyote atakae simama upinzani, mnatumia nguvu kubwa ya kuonekana anakubalika wakati si kweli, muwe mnatembea mikoani
Duh...!, nadhani hili ni bandiko la hisia tuu, CCM na serikali yake haiwezi kuwa na uoga wa kushindwa uchaguzi kihivyo kwasababu Rais Magufuli sasa anakubalika sana hadi wapinzani wanaacha vyama vyao kwa hiyari yao na kumuunga mkono.
Tena na kwa track record ya utendaji wake uliotikuka so far, ushindi wa kishindo kwa CCM ni uhakika!, wembe ule ule uliotumika kuwanyoa wapinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ndio utatumika kuwanyoa kwenye uchaguzi mkuu.
Kwa mujibu wa sheria iliyounda Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC ni tume huru japo sio shirikishi.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji uchaguzi huru na wa haki tena tutashauri kwa uchaguzi wa mwaka huu, mawakala waruhusiwe hadi kwenye tallying.
Kama uchaguzi unandeshwa very transparently kwa kura zote hadi za rais kubandikwa vituoni.
Tutawashauri mawakala wote wa vyama vyote wapewe smart phones na ku scan matokeo ya kila kituo na kutuma kwenye tallying centres za kila chama.
Ili kuthibitisha hakuna goli lolote la mkono, hakuna sababu yoyote ya NEC kuzuia independent tallying centres, ila haziruhusuwi kutangaza matokeo, ila matokeo yasipotally then they'll have a strong case to challenge with Documentary evidence, numbers don't lie.
Matokeo ya mwisho ya uchaguzi mkuu ni ushindi wa kishindo cha asilimia 93% kwa CCM, hizo asilimia 7% ni Pemba na yale majimbo mawili ya Zanzibar ambayo yatakwenda ACT!.
Kanuni ya ushindi ni "the end justifies the means"
" the winner takes it all, the losers standing small"
Kwa vile kila mtu ameishajua CCM itashinda uchaguzi, bado naendelea kuisisitiza hoja hii
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...
Hizi ni hisia tu hakuna serikali wala chama itakayokubali kuiweka nchi rehani kwa kiasi hicho hasa kipindi hiki ambacho wababe wa dunia USA wameanza kuonyesha dalili za kutublack list, na kutuweka kundi moja na Eritrea na Sudani, kipindi ambacho USA inatoa matamko mazito juu ya mwenendo wa siasa za Tanzania, hilo halitawezekana, Tanzania ni zaidi ya utashi wa ntu mmoja mmoja, wenye serikali na wenye chama tawala hawatakubali kufanya ujinga huo hata kidogo maana wanajua impact yake.
Taarifa inayofanyiwa kazi na ccm hasa makada watiifu ambao ni majaji wa mahakama kuu ni kuhakikisha viongozi wakuu wa upinzani kufungwa jela walau miezi sita na kuendelea ili kupisha ccm itawazwe kushinda ngazi zote za uongozi kuanzia udiwani, ubunge na urais.
Sababu za kufanya ivyo ni pamoja na
1. Kupunguza gharama za uchaguzi kwani kwa sasa bajeti haipo/haitoshi kuendesha uchaguzi.
2. Kuufuta upinzani nchini kwa kuonyesha dunia kuwa viongozi wa upinzani ni waaharifu na mahakama imewahukumu na sio serikali
3. Hofu ya Magufuli kupunguziwa idadi ya kura.
4. Madaj ya tume huru na iwapo upinzani wakiamua kujitoa kabla ya kutolewa na tume kama ilivyofanyika kwenye chaguzi za serikali za mitaa
5. Zanzibar kuna plani kuu mbili, kupitisha sheria kumzuia maalim seif kutogombea na inabidi akae miaka 2 kama kahama chama na pili wamfungulie kesi yoyote itakayomsababisha kufungwa au kukosa sifa ya kuwa mgombea wa urais.
Agenda kuu Kuhamia ccm ukigoma unatupiwa kesi, then kifungo wanaolengwa zaidi ni Mbowe, Lissu, Zitto. Na viongozi wote kwenye kesi ya Akwilina watafungwa isipokuwa ka Dr Masinji atatolewa kwa mlango wa nyuma.
Serikali ya CCM, inayoongozwa na Rais Dr Magufuli, kwa mikakati yake ya kiuchumi (rejea Ilani ya Uchaguzi ya CCM, 2015) imeifanya Tz kuwa moja yqla nchi zinazoendelea kuwa tajiri. Hivyo hoja ya (1) haina mashiko.
Viongozi wa upinzani, badala ya kuwa na Sera mbadala za kuendeleza nchi hii kiuchumi, wamebaki kuwa viongozi wa matukio. Kwa hali hiyo, hoja yako (2) ni kichekesho tu.
Kwamba Magufuli ana hofu ya kupunguziwa idadi ya kura (hoja na 3) ni ndoto za alinacha na huenda msingi wake ni bandiko zinatolewa kwenye mitandao ya kijamii. Mageuzi ya kiuchumi aliyoyasimamia ni ushaidi na nguvu tosha za kumpa kura maradufu.
Wapinzani wanahaha na madai ya Tume Huru ya Uchaguzi wakijua fika iliyopo ni huru na ndiyo iliyowapa nafasi nyingi za Ubunge, Udiwani na Uenyeviti wa Serikali za Mitaa n Vijiji, 2015. Lakini kwa kuwa wanatambua nguvu yao kisiasa imeporoka, wanatafuta mlango wa kutokea watakapoweka mpira wa uchaguzi kwapani. Hivyo hoja yako (4) ni ya kitoto.
Kwamba Maalim Seif anawekewa mizengewe (hoja na 5) asiwe mgombea Zanzibar, ni hoja ya kizushi. Ukweli kwamba alikimbia CUF, chama ambacho ni mmoja wa waanzilishi, na kujiunga na ACT Mzalendo, chama cha mtu mmoja ni dalili kwamba ameishiwa nguvu kisiasa.
Viongozi wa upinzani wenye kesi mahakamani, ni watu wazima, wazoefu wa siasa ambao waliamua, kwa makusudi, kuvunja sheria, wakidhani wangepata huruma ya wananchi. Tuache mahakama itimize wajibu wake wa Kikativa
Duh...!, nadhani hili ni bandiko la hisia tuu, CCM na serikali yake haiwezi kuwa na uoga wa kushindwa uchaguzi kihivyo kwasababu Rais Magufuli sasa anakubalika sana hadi wapinzani wanaacha vyama vyao kwa hiyari yao na kumuunga mkono.
Tena na kwa track record ya utendaji wake uliotikuka so far, ushindi wa kishindo kwa CCM ni uhakika!, wembe ule ule uliotumika kuwanyoa wapinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ndio utatumika kuwanyoa kwenye uchaguzi mkuu.
Kwa mujibu wa sheria iliyounda Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC ni tume huru japo sio shirikishi.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji uchaguzi huru na wa haki tena tutashauri kwa uchaguzi wa mwaka huu, mawakala waruhusiwe hadi kwenye tallying.
Kama uchaguzi unandeshwa very transparently kwa kura zote hadi za rais kubandikwa vituoni.
Tutawashauri mawakala wote wa vyama vyote wapewe smart phones na ku scan matokeo ya kila kituo na kutuma kwenye tallying centres za kila chama.
Ili kuthibitisha hakuna goli lolote la mkono, hakuna sababu yoyote ya NEC kuzuia independent tallying centres, ila haziruhusuwi kutangaza matokeo, ila matokeo yasipotally then they'll have a strong case to challenge with Documentary evidence, numbers don't lie.
Matokeo ya mwisho ya uchaguzi mkuu ni ushindi wa kishindo cha asilimia 93% kwa CCM, hizo asilimia 7% ni Pemba na yale majimbo mawili ya Zanzibar ambayo yatakwenda ACT!.
Kanuni ya ushindi ni "the end justifies the means"
" the winner takes it all, the losers standing small"
Kwa vile kila mtu ameishajua CCM itashinda uchaguzi, bado naendelea kuisisitiza hoja hii
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...
Taarifa inayofanyiwa kazi na ccm hasa makada watiifu ambao ni majaji wa mahakama kuu ni kuhakikisha viongozi wakuu wa upinzani kufungwa jela walau miezi sita na kuendelea ili kupisha ccm itawazwe kushinda ngazi zote za uongozi kuanzia udiwani, ubunge na urais.
Sababu za kufanya ivyo ni pamoja na
1. Kupunguza gharama za uchaguzi kwani kwa sasa bajeti haipo/haitoshi kuendesha uchaguzi.
2. Kuufuta upinzani nchini kwa kuonyesha dunia kuwa viongozi wa upinzani ni waaharifu na mahakama imewahukumu na sio serikali
3. Hofu ya Magufuli kupunguziwa idadi ya kura.
4. Madaj ya tume huru na iwapo upinzani wakiamua kujitoa kabla ya kutolewa na tume kama ilivyofanyika kwenye chaguzi za serikali za mitaa
5. Zanzibar kuna plani kuu mbili, kupitisha sheria kumzuia maalim seif kutogombea na inabidi akae miaka 2 kama kahama chama na pili wamfungulie kesi yoyote itakayomsababisha kufungwa au kukosa sifa ya kuwa mgombea wa urais.
Agenda kuu Kuhamia ccm ukigoma unatupiwa kesi, then kifungo wanaolengwa zaidi ni Mbowe, Lissu, Zitto. Na viongozi wote kwenye kesi ya Akwilina watafungwa isipokuwa ka Dr Masinji atatolewa kwa mlango wa nyuma.
Mkuu 'Return', umeifanya mada yako hii nzito ionekane nyepesi kwa vibwagizo ulivyoviweka hapa vingine vinavyoonekana kama 'utani', lakini kiuhalisia ni mbinu nzito hata kama zinaonekana kuwa za kishamba shamba vile.
Huu ni mwendelezo wa mambo ya ajabu sana ambayo watu wengi hawakutegemea kwamba yanaweza yakabuniwa na kutekelezwa mbele za watu wenye akili timamu na heshima zao.
Ukweli wenyewe, mambo haya ya ajabu yanafanyika, kama yale ya ajabu yaliyotumika kunasa mawasiliano ya watu waliotazamwa na jamii kuwa ni watu wenye heshima.
Nikubaliane nawe tu kwamba uwezekano wa kuwaweka hatiani viongozi hawa wakati mwafaka ni mkubwa kuliko tudhaniavyo.
Je, umma wa waTanzania nao utayaona mambo kama hayo kuwa ni ya kawaida tu, na wala wasistuke kabisa?
Mimi ninalo pendekezo kwa CHADEMA na wapinzani wenzao.
Kama patakuwepo na kampeni kabla ya Uchaguzi Mkuu mwaka huu; yaani kama hapatatokea kususia au kuzuia uchaguzi huo kwa sababu ya kutokuwepo kwa Tume Huru -
Wazo na pendekezo langu ni hili:
Mkuu 'Paskali' wa JF anaweza akawa ni 'asset' mhimu sana kwao wakiweza kumshirikisha katika kampeni zao sehemu mbalimbali nchini.
Yeye anaweza tu kuwa kama 'agent provocateur' kama anavyofanya hapa JF mbele ya mkusanyiko wa kampeni hizo. Akishamaliza kazi yake, anawaachia makada wa CHADEMA na wenzao kumaliza kazi.
Chukulia mfano wa kwenye mada hii, halafu uniambie kuwa hawezi akafanikisha kampeni za wapinzani.
Fursa ni fursa tu, ikijitokeza itumie ipasavyo, mradi ujue jinsi ya kuitumia ilete tija.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.