Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kwani Tundu Lissu alipigwa risasi na serikali?.Unaongea nini wewe
Eti serikali haiwezi kuwa na uoga kijivyo!!
Tundu Lissu alipigwaje Risasi? Uoga tu wakiwendawazimu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umelamba matapishi na makalio ya wana CCM kwa muda mrefu,kwanini hawakupi uteuzi?Duh...!, nadhani hili ni bandiko la hisia tuu, CCM na serikali yake haiwezi kuwa na uoga kihivyo kwasababu Rais Magufuli anakubalika sana, na kwa track record ya utendaji wake so far, ushindi wa kishindo kwa CCM ni uhakika!, wembe ule ule uliotumika kuwanyoa wapinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, utatumika kwenye uchaguzi mkuu.
Tume ya uchaguzi NEC ni tume huru japo sio shirikishi.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji uchaguzi huru na wa haki.
Matokeo ya uchaguzi mkuu ni ushindi wa kishindo cha asilimia 93% kwa CCM, hizo asilimia 7% ni Pemba na yale majimbo mawili ya Zanzibar ambayo yatakwenda ACT!.
Tuliisha shauri mapema
PKwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
UongoDuh...!, nadhani hili ni bandiko la hisia tuu, CCM na serikali yake haiwezi kuwa na uoga kihivyo kwasababu Rais Magufuli anakubalika sana, na kwa track record ya utendaji wake so far, ushindi wa kishindo kwa CCM ni uhakika!, wembe ule ule uliotumika kuwanyoa wapinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, utatumika kwenye uchaguzi mkuu.
Tume ya uchaguzi NEC ni tume huru japo sio shirikishi.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji uchaguzi huru na wa haki.
Matokeo ya uchaguzi mkuu ni ushindi wa kishindo cha asilimia 93% kwa CCM, hizo asilimia 7% ni Pemba na yale majimbo mawili ya Zanzibar ambayo yatakwenda ACT!.
Tuliisha shauri mapema
PKwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
Kwenye hiyo orodha ya maadui wa nchi yetu,sijui ni kwa kigezo gani umemsahau MagufuliIli Nchi Iendelee Inahitaji:-
1 . Watu
2 . Uongozi Bora
3 . Siasa Safi
4 . Ardhi
Maadui Wa Nchi Yetu Ni :-
1 . Ujinga
2 . Umasikini
3 . Maradhi
***************************************************
Mkia Wa Mbuzi Unafagia Pale Tu Unapolala.
Sikio La Kufa Litasikia Kwa Mungu
Sikio La Kufa Halisikii Dawa
🤣😂😁
Kwani Tundu Lissu alipigwa risasi na serikali?.
Lissu alishambuliwa na watu wasiojulikana.
P
Sikushangai kumfagilia sana lakini. Mko tayari uchaguzi usimamiwe ni mataifa 6lya nje ili tujue kukubalka kwake?Duh...!, nadhani hili ni bandiko la hisia tuu, CCM na serikali yake haiwezi kuwa na uoga kihivyo kwasababu Rais Magufuli anakubalika sana, na kwa track record ya utendaji wake so far, ushindi wa kishindo kwa CCM ni uhakika!, wembe ule ule uliotumika kuwanyoa wapinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, utatumika kwenye uchaguzi mkuu.
Tume ya uchaguzi NEC ni tume huru japo sio shirikishi.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji uchaguzi huru na wa haki.
Matokeo ya uchaguzi mkuu ni ushindi wa kishindo cha asilimia 93% kwa CCM, hizo asilimia 7% ni Pemba na yale majimbo mawili ya Zanzibar ambayo yatakwenda ACT!.
Tuliisha shauri mapema
PKwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
Mbona hukumu ya kesi zao haitolewi hii uleta shaka hisia lisemwalo lipo thus kina mashinji na wengine wamewahi kupigwa chapa na kuusujudia msalaba ili waponeDuh...!, nadhani hili ni bandiko la hisia tuu, CCM na serikali yake haiwezi kuwa na uoga kihivyo kwasababu Rais Magufuli anakubalika sana, na kwa track record ya utendaji wake so far, ushindi wa kishindo kwa CCM ni uhakika!, wembe ule ule uliotumika kuwanyoa wapinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, utatumika kwenye uchaguzi mkuu.
Tume ya uchaguzi NEC ni tume huru japo sio shirikishi.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji uchaguzi huru na wa haki.
Matokeo ya uchaguzi mkuu ni ushindi wa kishindo cha asilimia 93% kwa CCM, hizo asilimia 7% ni Pemba na yale majimbo mawili ya Zanzibar ambayo yatakwenda ACT!.
Tuliisha shauri mapema
PKwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
How ccm underdeveloped Tanzania, aliyetuletea mdudu huyu alitukosea sana
Watakaokubali huu ujinga na upumbavu hakika watakuwa wameweka mashakani amani ya nchi pamoja na uchumi wa nchi kwa pamoja.
Uliona wapi simba au yanga ikafa kwa kuondokewa na wachezaji,timu ni mashabiki sio wachezaji hao usajiliwa kila msimu.Upinzani ni wanachama sio viongozi, uliona wapi mmea ukafa kwa kuondokewa na maguguBadala ya kukaa na kutafakari nini kinaendelea kwenye chama chenu hadi viongozi wanahama, mnabaki kuandika mambo ya kipumbavu mitandaoni. Mlibebea bango eti Mzee Makamba na Mzee Kinana Makatibu Wakuu wa zamani wa CCM wajitoa CCM. Mkajaza threads humu weeeeee! Mkajaza koments weeee! Mwisho wa siku, Katibu Mkuu wenu wa zamani ndio akahamia CCM. Hiyo Paschal Mayalla anaiita Karma!
Utashangaa!.Thubutu, msimu huu kura Zanzibar zinalindwa liwalo liwe,
Lakini hadi october bado mbali sana huwezi jua hapa katikati mungu akatenda miujiza yakeDuh...!, nadhani hili ni bandiko la hisia tuu, CCM na serikali yake haiwezi kuwa na uoga wa kushindwa uchaguzi kihivyo kwasababu Rais Magufuli sasa anakubalika sana hadi wapinzani wanaacha vyama vyao kwa hiyari yao na kumuunga mkono.
Tena na kwa track record ya utendaji wake uliotikuka so far, ushindi wa kishindo kwa CCM ni uhakika!, wembe ule ule uliotumika kuwanyoa wapinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ndio utatumika kuwanyoa kwenye uchaguzi mkuu.
Kwa mujibu wa sheria iliyounda Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC ni tume huru japo sio shirikishi.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji uchaguzi huru na wa haki tena tutashauri kwa uchaguzi wa mwaka huu, mawakala waruhusiwe hadi kwenye tallying.
Kama uchaguzi unandeshwa very transparently kwa kura zote hadi za rais kubandikwa vituoni.
Tutawashauri mawakala wote wa vyama vyote wapewe smart phones na ku scan matokeo ya kila kituo na kutuma kwenye tallying centres za kila chama.
Ili kuthibitisha hakuna goli lolote la mkono, hakuna sababu yoyote ya NEC kuzuia independent tallying centres, ila haziruhusuwi kutangaza matokeo, ila matokeo yasipotally then they'll have a strong case to challenge with Documentary evidence, numbers don't lie.
Matokeo ya mwisho ya uchaguzi mkuu ni ushindi wa kishindo cha asilimia 93% kwa CCM, hizo asilimia 7% ni Pemba na yale majimbo mawili ya Zanzibar ambayo yatakwenda ACT!.
Kanuni ya ushindi ni "the end justifies the means"
" the winner takes it all, the losers standing small"
Kwa vile kila mtu ameishajua CCM itashinda uchaguzi, bado naendelea kuisisitiza hoja hii
PKwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
Habari wananchi!
Taarifa inayofanyiwa kazi na ccm hasa makada watiifu ambao ni majaji wa mahakama kuu ni kuhakikisha viongozi wakuu wa upinzani kufungwa jela walau miezi sita na kuendelea ili kupisha ccm itawazwe kushinda ngazi zote za uongozi kuanzia udiwani, ubunge na urais.
Sababu za kufanya ivyo ni pamoja na
1. Kupunguza gharama za uchaguzi kwani kwa sasa bajeti haipo/haitoshi kuendesha uchaguzi.
2. Kuufuta upinzani nchini kwa kuonyesha dunia kuwa viongozi wa upinzani ni waaharifu na mahakama imewahukumu na sio serikali
3. Hofu ya Magufuli kupunguziwa idadi ya kura.
4. Madaj ya tume huru na iwapo upinzani wakiamua kujitoa kabla ya kutolewa na tume kama ilivyofanyika kwenye chaguzi za serikali za mitaa
5. Zanzibar kuna plani kuu mbili, kupitisha sheria kumzuia maalim seif kutogombea na inabidi akae miaka 2 kama kahama chama na pili wamfungulie kesi yoyote itakayomsababisha kufungwa au kukosa sifa ya kuwa mgombea wa urais.
Agenda kuu Kuhamia ccm ukigoma unatupiwa kesi, then kifungo wanaolengwa zaidi ni Mbowe, Lissu, Zitto. Na viongozi wote kwenye kesi ya Akwilina watafungwa isipokuwa ka Dr Masinji atatolewa kwa mlango wa nyuma.
Magufuli anaamini yeye ni mkubwa kuliko MunguWatakaokubali huu ujinga na upumbavu hakika watakuwa wameweka mashakani amani ya nchi pamoja na uchumi wa nchi kwa pamoja.
Duh...!, nadhani hili ni bandiko la hisia tuu, CCM na serikali yake haiwezi kuwa na uoga wa kushindwa uchaguzi kihivyo kwasababu Rais Magufuli sasa anakubalika sana hadi wapinzani wanaacha vyama vyao kwa hiyari yao na kumuunga mkono.
Tena na kwa track record ya utendaji wake uliotikuka so far, ushindi wa kishindo kwa CCM ni uhakika!, wembe ule ule uliotumika kuwanyoa wapinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ndio utatumika kuwanyoa kwenye uchaguzi mkuu.
Kwa mujibu wa sheria iliyounda Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC ni tume huru japo sio shirikishi.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji uchaguzi huru na wa haki tena tutashauri kwa uchaguzi wa mwaka huu, mawakala waruhusiwe hadi kwenye tallying.
Kama uchaguzi unandeshwa very transparently kwa kura zote hadi za rais kubandikwa vituoni.
Tutawashauri mawakala wote wa vyama vyote wapewe smart phones na ku scan matokeo ya kila kituo na kutuma kwenye tallying centres za kila chama.
Ili kuthibitisha hakuna goli lolote la mkono, hakuna sababu yoyote ya NEC kuzuia independent tallying centres, ila haziruhusuwi kutangaza matokeo, ila matokeo yasipotally then they'll have a strong case to challenge with Documentary evidence, numbers don't lie.
Matokeo ya mwisho ya uchaguzi mkuu ni ushindi wa kishindo cha asilimia 93% kwa CCM, hizo asilimia 7% ni Pemba na yale majimbo mawili ya Zanzibar ambayo yatakwenda ACT!.
Kanuni ya ushindi ni "the end justifies the means"
" the winner takes it all, the losers standing small"
Kwa vile kila mtu ameishajua CCM itashinda uchaguzi, bado naendelea kuisisitiza hoja hii
PKwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
Mkuu 'Return', umeifanya mada yako hii nzito ionekane nyepesi kwa vibwagizo ulivyoviweka hapa vingine vinavyoonekana kama 'utani', lakini kiuhalisia ni mbinu nzito hata kama zinaonekana kuwa za kishamba shamba vile.Habari wananchi!