Tetesi: Mwana CCM adai mwezi Julai 2020, viongozi wa upinzani hasa Mbowe, Lissu, Zitto, Maalim Seif nk kuhukumiwa vifungo jela na CCM kupita bila kupingwa


Kamanda kama watakutwa na hatia ni sawa wafungwe hakuna shida .


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ndio mlipofikia hapa. Hoja za kijinga mnajadili mkinywa alkasusu na kuzileta huku.
 
Soon Kibatala na wenzake watajitoa kumtetea aliyekuwa katibu mkuu wa chadema, ikiwa hivyo safi.
Naunga mkono.
 
CCM wanaogopa sana upinzani
 
Chama na serikali ni Mali binafsi ya familia nani wa kupinga maagizo ya familia,bunge,mahakama,dola,jeshi viko mfukoni mwa familia ndio yenye maamuzi hii yote sababu ya katiba ya nyerere, msaada pekee ni Mungu awabariki mabeberu watuondolee shida hii kisha tutengeneze katiba ya wananchi Na sio kutumia katiba iliyopitwa na wakati ya nyerere
 
Akili za kushikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tume Ya Uchaguzi ya Taifa ni huru?

Man,are you smoking trees?
 
Tume Ya Uchaguzi ya Taifa ni huru?
Man,are you smoking trees?
Yes Tume ni huru ila sio shirikishi.
Tembelea hapa
P
 
mzee bado tu unategemea utateuliwa?
 
Hakika we ni shetani
Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu hageuki shetani kwa kuitwa tuu shetani, bali binadamu hugeuka shetani kwa kufanya vitendo vya kishetani.
Ila ukumbuke hata shetani mwanzo alikuwa malaika, na kitendo cha kumuita mtu wa Mungu kuwa ni shetani wakati kiukweli sii shetani, kutakupelekea kupata mapigo ya karma!.
Uchaguzi 2015 - Nani hatari zaidi kati ya malaika aliyegeuka ...
Malaika akijiunga na mashetani, anageuka shetani?, shetani ...
P
 
Naiona nguvu ya umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…