Alfu Lela U lela
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 204
- 341
Nlikutana nao uso kwa uso kwenye chocho moja nlikua na simu na wallet nikavirusha juu ya bati la nyumba moja wapo ya lile chocho kesho yake nllienda kwenye ile nyumba nikawaelezea wakanipa ngazi nikachukua vitu vyangu