Tangu lini Mwanafa na Ruge wakawa kila mtu?Msanii Mwanafalsafa naye ameungana na Ruge kumchana mbunge Sugu. Huyu mbunge sasa kila mtu anamwona hamna kitu, hivi ataishije kama kila mtu anamwona ''wa hivi hivi.'' source: Clouds Fm
Ataishi kama mwanzoMsanii Mwanafalsafa naye ameungana na Ruge kumchana mbunge Sugu. Huyu mbunge sasa kila mtu anamwona hamna kitu, hivi ataishije kama kila mtu anamwona ''wa hivi hivi.'' source: Clouds Fm
Msanii Mwanafalsafa naye ameungana na Ruge kumchana mbunge Sugu. Huyu mbunge sasa kila mtu anamwona hamna kitu, hivi ataishije kama kila mtu anamwona ''wa hivi hivi.'' source: Clouds Fm
Simply SUGU HAJUI ANACHOKIFANYA .....
Msanii Mwanafalsafa naye ameungana na Ruge kumchana mbunge Sugu. Huyu mbunge sasa kila mtu anamwona hamna kitu, hivi ataishije kama kila mtu anamwona ''wa hivi hivi.'' source: Clouds Fm
hapa mkuu umegeneralize sana, kila m2 nani na nani wataje wengine tuwajua na hata ukiwataja hao bado kila m2 haitakuwa na mana ile ya kila m2 mana mie cjampinga sugu!!!!!!Msanii Mwanafalsafa naye ameungana na Ruge kumchana mbunge Sugu. Huyu mbunge sasa kila mtu anamwona hamna kitu, hivi ataishije kama kila mtu anamwona ''wa hivi hivi.'' source: Clouds Fm
hivi kwani tumuulize kilicho muondoa east coast ni nini?..
Hawa wote watoto wa sugu
Ndo maana yake na sisi ndo tumemwingiza mjengoni kama vp mwingizeni na ninyi Ruge!Kuna watu wapo tayar kufanya lolote atakalosema sugu bila kuangalia
Hawa wote watoto wa sugu