Mwana FA amchana Sugu

Mwana FA amchana Sugu

Status
Not open for further replies.

Mwita25

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
3,831
Reaction score
1,169
Msanii Mwanafalsafa naye ameungana na Ruge kumchana mbunge Sugu. Huyu mbunge sasa kila mtu anamwona hamna kitu, hivi ataishije kama kila mtu anamwona ''wa hivi hivi.'' source: Clouds Fm
 
Kwani hapo awali alikuwa akishije? uliwahi mpa mavazi, malazi au kumgharamia matibabu mpaka uone kwamba hawezi ishi tena?
 
Mwana fa ni mchumba tu kwa sugu ni mtoto mayai wa mama tu hajapata shida yoyote kwenye game kwake ilikuwa mteremko baada ya kukuta sugu amesaidia sana mziki wa tz ndo dogo akatia pua anatumiwa tu kwa kuendekeza njaa itakuuwa we mchumba sugu atakupa za uso ndo uelewe nini anakipigania!hawa ndo wale ambao walikuwa wanajipendekeza kwa sugu baada ya kushinda wakati wa kampeni walimtosa wanafiki wa kubwa wewe na wenzio wote!b?;'u;j;/
 
Msanii Mwanafalsafa naye ameungana na Ruge kumchana mbunge Sugu. Huyu mbunge sasa kila mtu anamwona hamna kitu, hivi ataishije kama kila mtu anamwona ''wa hivi hivi.'' source: Clouds Fm
Ataishi kama mwanzo
 
Msanii Mwanafalsafa naye ameungana na Ruge kumchana mbunge Sugu. Huyu mbunge sasa kila mtu anamwona hamna kitu, hivi ataishije kama kila mtu anamwona ''wa hivi hivi.'' source: Clouds Fm

Simply SUGU HAJUI ANACHOKIFANYA .....
 
mwanafa lazima aaongee hivi kwani tumuulize kilicho muondoa east coast ni nini? halafu akishatujibu tunamuuliza swali jengine wewe unategemea muziki au ajira uliyo nayo?

na la mwisho lazima awe upande wa ruge kwani huwaanajikomba tu..
 
Kuna watu wapo tayar kufanya lolote atakalosema sugu bila kuangalia
 
Msanii Mwanafalsafa naye ameungana na Ruge kumchana mbunge Sugu. Huyu mbunge sasa kila mtu anamwona hamna kitu, hivi ataishije kama kila mtu anamwona ''wa hivi hivi.'' source: Clouds Fm

Mwana FA si anajikomba Clouds ili aendelee kuishi mjini ulitegemea atamtetea Sugu?
 
Msanii Mwanafalsafa naye ameungana na Ruge kumchana mbunge Sugu. Huyu mbunge sasa kila mtu anamwona hamna kitu, hivi ataishije kama kila mtu anamwona ''wa hivi hivi.'' source: Clouds Fm
hapa mkuu umegeneralize sana, kila m2 nani na nani wataje wengine tuwajua na hata ukiwataja hao bado kila m2 haitakuwa na mana ile ya kila m2 mana mie cjampinga sugu!!!!!!
 
Njaa mbaya Pole mwanaFA

N
images
 
yah kweli Mwana FA hamna kitu pale, ni njaa ndo zimempeleka kwa clouds, SUGU atabaki kuwa sugu!

long live Sugu
 
sugu ni sugu hawezi kuttetewa na watoto wa mama.
wanamwita suguuu,
wanamwita suguuu,sugu,sugu,suguuuu!
wote hao walivalishwa tishet na buku tano wakati wa kampeni leo unategemea waseme nini?
tumemwamini na tutaendelea kumwamini na rais wenu anamwamini ndio maana hajaongea kitu kuhusu shutuma za sugu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom