Mwana FA amkana Baba yake mzazi

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
Mwanamuziki mkongwe Mohamed Mwinjuma (MAZINGAZINGA) baba yake mzazi na Khamis Mwinjuma (MWANAFA) baada ya kukataliwa na mwanae na kukosa msaada kabisa ameamua kujikita zaidi kwenye muziki na kutaka kuifufua bendi ya Moro Jazz ambayo anasema ndio ndoto yake kubwa.

Pia amebainisha wala hataki tena kuomba msaada kutoka kwa mwanae huyo maana amemdhalilisha vya kutosha hivyo ameamua kupambana na hali yake.

Mpe neno mzee huyo

 
Hayo ndiyo matokeo ya kuzalisha halafu unaingia mitini halafu unajiona mjanja kuwadharau single mothers.

Mwanaume mwenzangu kama ulitelekeza mtoto na mama yake hakikisha hauhitaji msaada uzeeni.

Watoto wa siku hizi siyo wale wa enzi zile sasa hivi JINO KWA JINO. UKINIKATAA BAADAE NITAKUKATAA
 
Wazee wa kufyatuaa. Halafu mtoto atajijua mwenyewe.
Mwambie aende Magogoni aliyehamasisha UFYATUAJI anaweza kumsaidia
 
Kuzaa siyo kazi. Kazi ni kulea...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…