mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,568
- 6,424
🤣🤣😂Ooohoooo halafu kanatokea kapuuzi fulani kuanza kudiss single moms wakati watia mimba na kutelekeza ndo hawa walalamikaji wakubwa mbeleni aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣😂Ooohoooo halafu kanatokea kapuuzi fulani kuanza kudiss single moms wakati watia mimba na kutelekeza ndo hawa walalamikaji wakubwa mbeleni aiseee
Halafu inaonekana wanaume wanaongoza kutelekeza watoto, mwishowe wakianza kukataliwa wanaanza kulalamika huku wao ndio wameanzisha makosaHakuna kosa lisolo na msamaha.... Sema huwa inaumiza sana mshua kukukana
Super hero daddy
Malipo ni hapa hapa duniani mkuuHalafu inaonekana wanaume wanaongoza kutelekeza watoto, mwishowe wakianza kukataliwa wanaanza kulalamika huku wao ndio wameanzisha makosa
uko sahihi kabisa!Mwanaume kukataa mimba mwanzo ni kawaida. Ukikubali kubali kiboya unaweza ukalea watoto wa wenzio. Unless upo so sure.
Sent using Jamii Forums mobile app
nasema wasisamehewe ili tuishepu jamii! wakisamehewa watazoea sanaHalafu inaonekana wanaume wanaongoza kutelekeza watoto, mwishowe wakianza kukataliwa wanaanza kulalamika huku wao ndio wameanzisha makosa
Mkuu bora uwaambie, Watoto wa aina hiyo huwa wanafanikiwa baadae.Vijana mnacheza peku halafu mimba mnazikataa mkuu inaumiza sana, matokeo yake mnawakana watoto
Super hero daddy
uko sahihi kabisa!
ukikataa kataa jumla hata ukisikia ana pesa kama bilgate wee endelea kumkana tu[emoji4]!
Lakini inauma na inahitaji ujasiri wa kumkataa mzazi hata kama alikuteleeza.Malipo ni hapa hapa duniani mkuu
Super hero daddy
Lawama anapewa mzazi wa kike kwamba kamlisha maneno ya chuki kitu ambacho si kweli mtoto anaona mazingira.Halafu inaonekana wanaume wanaongoza kutelekeza watoto, mwishowe wakianza kukataliwa wanaanza kulalamika huku wao ndio wameanzisha makosa
Tamaa za kizembe huleta haya mbeleni ndiyo hivyo madamMkuu bora uwaambie, Watoto wa aina hiyo huwa wanafanikiwa baadae.
Hili jambo tukilitazama kwa undani zaidi ni jambo kubwa sana na lina mzizi mrefu.nasema wasisamehewe ili tuishepu jamii! wakisamehewa watazoea sana
hujapitia magumu wewe!Lakini inauma na inahitaji ujasiri wa kumkataa mzazi hata kama alikuteleeza.
Huruma ni muhimu ingawa wengine wanapaswa wasihurumiwe. Kwa hiyo utashi wetu unatakiwa utuongoze katika maamuz bila kufuata mihemko ya watu wanaotuzunguzuka.
sasa kosa langu kama mtoto linakua ni lipi mkuu?Hili jambo tukilitazama kwa undani zaidi ni jambo kubwa sana na lina mzizi mrefu.
Tukumbuke mwanamke naye anachangia kutokea kwa hili jambo.
Kwa upande mwingine wanawake wanajirahisisha kwa wanaume mwishowe wanaachwa na watoto kutwlekezwa maana mwanaume hakuwa na nia na mwanamke isipokuwa ni kwa haja ya muda mfupi tu.
Ubarikiwesasa kosa langu kama mtoto linakua ni lipi mkuu?
sawa mama kajirahisi nikazaliwa ukanikataa, nahisi inatosha uendelee kunikataa itakuwa ni busara zaidi kushikilia msimamo wa kutotambua uwepo wa mtoto hata akifanikiwa.
Jamii ibadilike la sivyo wazazi watapata tabu sana maana watoto wamekataa misemo ya zamani eti baba hakosei( sio Mungu)!
Mkuu bora umejibu maana hawajielewi na lawama kwa wanawakesasa kosa langu kama mtoto linakua ni lipi mkuu?
sawa mama kajirahisi nikazaliwa ukanikataa, nahisi inatosha uendelee kunikataa itakuwa ni busara zaidi kushikilia msimamo wa kutotambua uwepo wa mtoto hata akifanikiwa.
Jamii ibadilike la sivyo wazazi watapata tabu sana maana watoto wamekataa misemo ya zamani eti baba hakosei( sio Mungu)!
Yaani akili zao zipo kupenda mteremko ,ndio maana wanakata watoto wao hili kukwepa majukumu( Marioo)Halafu inaonekana wanaume wanaongoza kutelekeza watoto, mwishowe wakianza kukataliwa wanaanza kulalamika huku wao ndio wameanzisha makosa
Sasa mkuu ukimuacha mwanamke na ujauzito au mtoto kwa sababu tu yeye ndiye alijilengesha wewe hukuwa na haja na mtoto si ufuate mambo yako? Au mtoto akishazaliwa akalelewa, akakua, akawa na hela, akapendeza ndo sasa baba yake unakuwa na haja na mtoto?Hili jambo tukilitazama kwa undani zaidi ni jambo kubwa sana na lina mzizi mrefu.
Tukumbuke mwanamke naye anachangia kutokea kwa hili jambo.
Kwa upande mwingine wanawake wanajirahisisha kwa wanaume mwishowe wanaachwa na watoto kutwlekezwa maana mwanaume hakuwa na nia na mwanamke isipokuwa ni kwa haja ya muda mfupi tu.
Hawa unaowaona niwa bi mdogo wa mzee wa mwana falsafaView attachment 1043364