Mwana FA amkana Baba yake mzazi

Nazjaz, Unamkana vipi mtu aliyesababisha wewe upo!!?
Unaweza shangaa mwanamziki mahili na mkongwe lakini bado unambwela,,,,, unakamata wachawi,,,,,


Umesahau kuwa ule unaouita ni uovu wa baba yako wewe pia umeuvaa wote kama ulivyo na hivyo kujitwisha milaana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watoto wengi mtaani ambao future zao zimeharibiwa na baba zao kutowajibika sehemu zao....waliwatia mimba mama zao alaf wakawatelekeza...wachache kwa kuhangaika wakatoboa eg Diamond Platnumz...badae ndo mzee anajitokeza et Mimi huyu Mwanangu...Tupa kule kabisa....Ukizalisha hakikisha unamhudummia mtoto hats kama mama make umempiga chini..ila mtoto ahudumiwe vyema kwa kadri ya uwezo wako...Akue anatambua mzee alikuwa naye bega kwa bega....
 
snowhite,
Huyu Mungu nae ana mitihani migumu sana, mtu anakufanyia mabaya bado unatakiwa umsamehe tuu na ukimkazia unapata laana inabidi usamehe ili na wewe usamehewe makosa yako, dah! inahitaji hekima sana hapo ni mtihani umepewa ukiuvuka huo umeiona pepo, ukijisahau kuwa hii ni mitihani tu inayopita huwezi kuvuka, Yusufu aliuzwa na ndugu zake utumwa kosa lake alikuwa visionary boy mwenye mandoto meengi ila mwishoni alitakiwa kuwasamehe ili wale pamoja alichochuma! mbaya sana ukifanyiwa ukatili usiige ukatili
 
Sasa wewe Nokia83 unafikiri hekima na ukubwa wa moyo ulionao kila mmoja atakuwa nao? hamna hicho kitu kuna watu dakika mbili mbele wanasahau bila ile manii hakuna mtoto hapo kakosea, dawa yake amsamehe na mhudumie vizuri ili kila siku aone aibu na afanye ibada ya toba kwa Mungu wake maana jua lenyewe ndo linazama tena ishakuwa jioni sana, mwisho wa ubaya aibu!!
 
Huu ndio uanaume , yatupasa kushukuru kwa kila jambo pengine kutelekezwa kwake ndio kulimfanya awe hapo alipo leo, mimi hua nashukuru Mama yangu wa kambo alinitesa saana kumbe alikua ana nipitisha kwenye moto hivi sasa hakuna kipya nme zoea kulala njaa, kusingiziwa, kuamka mapema, kulala late na ndio maisha nnayo kumbana nayo sasa@Nokia83,
 
Mi nilifikiri babaake Mwana FA ni Mwinjuma Muumini kumbe majina tu!
 
Huu ujinga kwaandikie wajinga wa fb huko sio humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…