Mwana FA amkana Baba yake mzazi

inasemekana FA alitelekezwa akalelewa na bibi kwa mjibu wa interview aliyowahi kufanya FA.

hivyo atumie njia nzuri ya kumfata mtoto akianza media atakua kama baba daimond na media.
Mzee wa dudu la yuyu..!!
 
Unaweza kukataa mimba kwasababu huna uthibitisho lakini mtoto je? Akikua na akafanikiwa usimsumbue endelea kumkataa. Wazazi wengi tunajisahau na starehe hao viumbe Mungu Huwa anawabariki Sana. Wakati nguvu zimeisha na uwezo huna ndo unaanza kujipendekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…