Mwana FA ampongeza Wallace Karia, asema ni "Kiongozi bora kwenye Historia ya TFF"

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma, maarufu Mwana FA amwaga pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wallace Karia

"Nimpongeze Wallace Karia kwa kazi kubwa anayoifanya kwenye mpira wa Tanzania, Kitakwimu hakuna viongozi wa TFF waliofanya vizuri kama nyinyi wakina Wallace Karia."

photo-output.jpeg

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma, maarufu Mwana FA amwaga pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Walkace Karia

"Nimpongeze Wallace Karia kwa kazi kubwa anayoifanya kwenye mpira wa Tanzania, Kitakwimu hakuna viongozi wa TFF waliofanya vizuri kama nyinyi wakina Wallace Karia."
Kiongozi bora? Nani? Karia? Hukumu ya CAS itawaumbua?
 
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma, maarufu Mwana FA amwaga pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wallace Karia

"Nimpongeze Wallace Karia kwa kazi kubwa anayoifanya kwenye mpira wa Tanzania, Kitakwimu hakuna viongozi wa TFF waliofanya vizuri kama nyinyi wakina Wallace Karia."
Asante kwa taarifa
 
Huyo labda ni kiongozi bora wa simba ila siyo TFF. Maana kiongozi bora hawezi kuwa mnazi wa waziwazi wa timu mojawapo kwenye shirikisho.
 
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma, maarufu Mwana FA amwaga pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wallace Karia

"Nimpongeze Wallace Karia kwa kazi kubwa anayoifanya kwenye mpira wa Tanzania, Kitakwimu hakuna viongozi wa TFF waliofanya vizuri kama nyinyi wakina Wallace Karia."
Ni kauli tu kma kauli zingine hata akimwaga sifa ila kiukwel karia ni arrogant na amelewa madaraka
#karia must go somalia
 
Anasikika sport extra ya clouds fm usiku huu. Kumbe ni kijana mdogo tu hakuwepo wakati tanzania inafuzu afcon kwa mara ya kwanza huko nigeria mwaka 1980. Ina maana kazaliwa kwenye miaka ya themanini
 
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma, maarufu Mwana FA amwaga pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wallace Karia

"Nimpongeze Wallace Karia kwa kazi kubwa anayoifanya kwenye mpira wa Tanzania, Kitakwimu hakuna viongozi wa TFF waliofanya vizuri kama nyinyi wakina Wallace Karia."
Mh Rais alishamaliza hii kesi, hawa wote Si-mbwa?
 
Back
Top Bottom