Kama wewe ni mwana hiphop kuna madai hapa ambayo nimeamua niyalete hapa kwenu wapendwa, madai hayo yameibuliwa na mwana fa
Mwana anadai kuwa yule mkali kutoka pande za mwanza mwanza ngosha kubanda fidq ni mlain kama kitumbua kwa sasa yaan kabadilika sana sio tena yule ngosha wa zaman
Mwana fa kadai kuwa kwa sasa ngosha kawa mlain kabadilika sana kiuimbaji hana ugumu wowote wala hana mistar migumu tena
Je haya madai ni ya kweli wadau?
Ulimi mbili na fresh zimekaa kilain? Au mwana fa anatafuta kiki ya wimbo wake mpya