mkuu mbona umetumia lugha kali sana? hahaha taratibu bosi nafikiri haelewi umaana wa kuwa na chanzo cha habari. Hata nami nilikuwa nategemea mwishoni nione chanzo chochote hata cha instagAcha u-MAKU weka source
Mgumu kutoka watengwa,huyu pamoja na stopper ndio waasisi wa hip hop ya Arusha.Bila kuwasahu WaturutumbiChindo ndo nan huyo?
Mkuu hata chindo mwenyewe siku hizi anavaa modo na kupaka dawa nywele amebaki na sauti tu ya kukaza kwenye ngoma zake mgumu wa kweli ni JCB na Bonta!Ngosha awe mgumu na CHINDO MAN ajiite nani?
sorry!! hivi ugumu unawasaidia nini hawa jamaa?Mkuu hata chindo mwenyewe siku hizi anavaa modo na kupaka dawa nywele amebaki na sauti tu ya kukaza kwenye ngoma zake mgumu wa kweli ni JCB na Bonta!