Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, anayejulikana kama Mwana FA, alikuwa mgeni rasmi kwenye Kongamano la Utamaduni wa Kiislamu lililofanyika jana Oktoba 27 mkoani Lindi, akimuwakilisha Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega.
Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Utamaduni wa Kiislamu na kuhudhuriwa na washiriki kutoka mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani, na Dar es Salaam. Lengo kuu la kongamano hili lilikuwa ni kukumbusha tamaduni zinazohimiza tabia na maadili mema katika jamii.
Pia Soma:
=> Abdallah Ulega amesema mradi wa ujenzi wa bandari ya uvuvi ya Kilwa Masoko utatoa ajira elfu 30
=> Waziri Ulega: Mkutano wa OACPS utasaidia kuweka mikakati madhubuti ya kuinua Sekta ya Uvuvi Nchini