Mwana FA asema wimbo "Muziki" wa Darassa umerudisha heshima Kwa wasanii wa hip hop

Mwana FA asema wimbo "Muziki" wa Darassa umerudisha heshima Kwa wasanii wa hip hop

Ameitendea haki beat na ameonyesha uwezo mno Darasa.....atoe remix na Diamond sasa.
 
Nilichopenda huu wimbo zaidi ni kutupunguzia makelele ya team madale

Kabisa mkuu,ilishakuwa 'too much'.
Hatujawahi kuwa na kelele.. Labda watoto wa kariakoo ndio wana kelele sana kutupinga..

Alafu yani madale watu wana amani kabisa hawana hata pressure eti sijui darasa [emoji23] [emoji23]

Ukienda unaweza hata shangaa kama wanaujue huo wimbo.. [emoji3] [emoji3]
 
Thubutuuuu!Wakati wewe mwenyewe tu muwakilishi wa madale JF hii niliujua huo wimbo kupitia kwako?
Muone vile...

Muziki hata usipousikiliza wewe huwezi maliza siku ktk mizunguko yako ukaacha kuusikia [emoji108]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Usiongee sana basi! Wacha maneno weka muziki..

(Ila kuna kitu kuotoka madale kinakuja ni soooo)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Usiongee sana basi! Wacha maneno weka muziki..

(Ila kuna kitu kuotoka madale kinakuja ni soooo)
Umeona sasa?
[emoji444] maisha na muziki...
Wacha maneno weka muziki [emoji444] [emoji108]

Wapi nyie tumeshazoea big G zenu.
Sitaki kufikiria ile collabo na p2 ilikofia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umeona sasa?
[emoji444] maisha na muziki...
Wacha maneno weka muziki [emoji444] [emoji108]

Wapi nyie tumeshazoea big G zenu.
Sitaki kufikiria ile collabo na p2 ilikofia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kidogo ft. p2 kila siku inapigwa MTV Base.. Haiwezi kufa kirahisi hivyo
Hata club ikipigwa watu wanaruka..
 
Anko JK alikuwa na kamsemo kake "upepo tu huu utapita"

Kinyimbo kimoja tu basi watu wanamaliza maneno!!

Twendeni MTV, Trace, Channel O, SoundCity ndio tutaelewa nani ni nani??

Hako kanyimbo kenu hata kenya na uganda haitrend [emoji23] [emoji23] [emoji23]

# WCB # WinnersCycle
halafu turudi wapi ndo tujue vzur?
daerasa kauuuuua
 
Huyo dogo hamjui FA kabisa yaani anataka kumfananisha Darasa mwenye hit songs tatu na Mwanafa? Kwa sababu hakuwepo miaka ile si vibaya kumshauri akasikilize hizi tracks halafu aje kusafisha utumbo wake;
1.Mabinti
2.Alikufa kwa ngoma ft.Jide
3.Hawajui ft. Jide
4.Msiache kuongea ft. Jide
5.Ingekuwa vipi ft. Jay MO
6.Unanitega ft. Noorah
7.Yalaiti ft. Lina
8.Habari ndio hiyo with AY
9.Asubuhi with AY ft. Q.Chillah
10.Mfalme ft. G.Nako
11.Tuliza boli
12.Bado nipo nipo
13.Jukumu letu with Prof.Jay
14.Wanapendana ft. Dully Sykes
15. Bila kukunja goti with AY ft. J.Martins
16. Kiboko yangu ft. Alikiba
Na nyinginezo
Hizo ngoma zote zilifanya vizuri, Darasa bado sana kumfananisha na Mwanafa

Whatever happened...

The issue is,Darasa is freaking HOT now,FA is cold,case closed!

Deal with it people,FA is cold now,and thats it..

Nani legend,well,when said and done we will see.

Tuache majungu,Darasa anafanya vizuri,tukubali!
 
Hiyo ilikuwa ni kwa wale Wote wanaomponda FA eti kisa Darassa anafanya vizuri. Huwezi kuignore mafanikio ya FA ya miaka yote kwa mafanikio ya singo moja tu ya Darassa
 
Back
Top Bottom