HahahahahaAcha maneno weka mziki..
Yap...Ben Pol kaibeba mno MuzikiChorus alipopita Ben pol kwenye wimbo wa muziki wa darassa umeongeza ladha zaidi.
Ngoswe kitovu cha uzembe....alichoma Kibanda naye.....hahahaIala na fegi uchome kibanda namkubali sana brother darasa
Kabisa mkuu,ilishakuwa 'too much'.Nilichopenda huu wimbo zaidi ni kutupunguzia makelele ya team madale
Nilichopenda huu wimbo zaidi ni kutupunguzia makelele ya team madale
Hatujawahi kuwa na kelele.. Labda watoto wa kariakoo ndio wana kelele sana kutupinga..Kabisa mkuu,ilishakuwa 'too much'.
Hatujawahi kuwa na kelele.. Labda watoto wa kariakoo ndio wana kelele sana kutupinga..
Alafu yani madale watu wana amani kabisa hawana hata pressure eti sijui darasa [emoji23] [emoji23]
Ukienda unaweza hata shangaa kama wanaujue huo wimbo.. [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Thubutuuuu!Wakati wewe mwenyewe tu muwakilishi wa madale JF hii niliujua huo wimbo kupitia kwako?
Muone vile...
Muziki hata usipousikiliza wewe huwezi maliza siku ktk mizunguko yako ukaacha kuusikia [emoji108]
Umeona sasa?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usiongee sana basi! Wacha maneno weka muziki..
(Ila kuna kitu kuotoka madale kinakuja ni soooo)
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeona sasa?
[emoji444] maisha na muziki...
Wacha maneno weka muziki [emoji444] [emoji108]
Wapi nyie tumeshazoea big G zenu.
Sitaki kufikiria ile collabo na p2 ilikofia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
wa juzi kwa maana ya mtoto kwa mwana FA wa tangu enzi za 'East Coast Team'Huwezi kumfananisha Hamees Mwinyijuma na Darasa, lakini nakataa Darasa sio WA JUZI.
halafu turudi wapi ndo tujue vzur?Anko JK alikuwa na kamsemo kake "upepo tu huu utapita"
Kinyimbo kimoja tu basi watu wanamaliza maneno!!
Twendeni MTV, Trace, Channel O, SoundCity ndio tutaelewa nani ni nani??
Hako kanyimbo kenu hata kenya na uganda haitrend [emoji23] [emoji23] [emoji23]
# WCB # WinnersCycle
Hizi ndio kelele zenyewe kutoka madale.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usiongee sana basi! Wacha maneno weka muziki..
(Ila kuna kitu kuotoka madale kinakuja ni soooo)
Huyo dogo hamjui FA kabisa yaani anataka kumfananisha Darasa mwenye hit songs tatu na Mwanafa? Kwa sababu hakuwepo miaka ile si vibaya kumshauri akasikilize hizi tracks halafu aje kusafisha utumbo wake;
1.Mabinti
2.Alikufa kwa ngoma ft.Jide
3.Hawajui ft. Jide
4.Msiache kuongea ft. Jide
5.Ingekuwa vipi ft. Jay MO
6.Unanitega ft. Noorah
7.Yalaiti ft. Lina
8.Habari ndio hiyo with AY
9.Asubuhi with AY ft. Q.Chillah
10.Mfalme ft. G.Nako
11.Tuliza boli
12.Bado nipo nipo
13.Jukumu letu with Prof.Jay
14.Wanapendana ft. Dully Sykes
15. Bila kukunja goti with AY ft. J.Martins
16. Kiboko yangu ft. Alikiba
Na nyinginezo
Hizo ngoma zote zilifanya vizuri, Darasa bado sana kumfananisha na Mwanafa
Hiyo ilikuwa ni kwa wale Wote wanaomponda FA eti kisa Darassa anafanya vizuri. Huwezi kuignore mafanikio ya FA ya miaka yote kwa mafanikio ya singo moja tu ya DarassaWhatever happened...
The issue is,Darasa is freaking HOT now,FA is cold,case closed!
Deal with it people,FA is cold now,and thats it..
Nani legend,well,when said and done we will see.
Tuache majungu,Darasa anafanya vizuri,tukubali!