Mwana FA atakua Clouds FM kwenye kipindi cha XXL

Mwana FA atakua Clouds FM kwenye kipindi cha XXL

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
Leo 27-04-2020 Mwana FA Atakua Clouds FM Kwenye kipindi Cha XXL Kuanzia 13:00 - 16:00

Zimetimia jumla ya siku 39 tangu ‘Shabaan Robert wa Kizazi Hiki’ MwanaFA ajitangaze kuwa mmoja wa waathirika wa kwanza wa COVID19TZA.

Leo tutapata fursa ya kuwa nae katika KubwaKuliko [XXL] ya kwanza katika msimu mpya, tumuazime masikio wakti utakapofika..

Mwana FA anaenda kuzima Kik ya magari na mahotel
 
Zimetimia jumla ya siku 39 tangu ‘Shabaan Robert wa Kizazi Hiki’ MwanaFA ajitangaze kuwa mmoja wa waathirika wa kwanza wa COVID19TZA - leo tutapata fursa ya kuwa nae katika KubwaKuliko [XXL] ya kwanza katika msimu mpya, tumuazime masikio wakti utakapofika..

Mwana FA anaenda kuzima Kik ya magari na mahotel
Screenshot_20200427-131353.jpg
 
Sawa manager wa cloudsfmtz media,
Eeh tupe feedback maana kipindi kishaisha now saa 16:35
Wengine tulikuwa mbali na redio?

Vp ameshazima kiki za hoteli na magari watoto na tanasha na majumba na Kodi watalipa kwa familia 500 na ongezea vingine Wewe?
 
‘Kabla sijatangaza kuna baadhi ya wanaharakati Twitter walishatangaza kwamba nina Corona, wakati nilipotangaza, wakabadili upepo kwamba nafanya kiki, then watu hao hao wakabadilika kwamba napumulia mipira Mloganzila.’ - MwanaFA on XxL

‘Mimi nilikuwa nimewekwa ‘Isolation Centre ya Temeke’, sikuwa Mloganzila, Temeke tulikuwa takribani watu 16, tulikuwa pale wengi tumepona, nadhani wamebaki wawili mpaka sasa.’ - mwanafa live on XXL

‘Wengi wanauliza kwanini nimechukua muda mrefu kupona, changamoto ilikuwa ni kutokana na historia yangu ya kuwa na #Asthma - lakini Alhamdulillah now nimepona kabisa.’ - mwanafa on XXL

‘Kiukweli mimi Corona haikunikuta vibaya, labda huenda kwasababu kinga ya mwili ipo vizuri, na ndio maana nilisema ‘Malaria ni tishio kuliko Corona’, lakini kila mtu ana kinga yake so ilivyonikuta tofauti na watu wengine.’ - MwanaFA #XXL

‘Mimi nimekaa ‘Isolation Centre’ kwa siku 28, nimepimwa mara 8 na mara 7 zote majibu yalikuwa yanarudi Positive, lakini namshukuru Mungu mara 8 wakajiridhisha nimepona 100%.’ - mwanafa on XXL.

‘Kuhusu hisia kwamba niliongopa, siwezi kuwalazimisha kuamini vinginevyo. We unadhani kati ya QChief na Rais MagufuliJP nani ana taarifa zaidi kuhusu Corona? Rais alinipigia na kunipa pole na kunitia imani katika lile janga.’ - MwanaFA on XXL
 
KWAYA MASTA sasa utakuwa balozi mzuri wa KOONA maana mwanzoni ulileta masikhara mpaka watu wakaichukulia poa ila sasa watu wanapukutika aisee!!
 
Back
Top Bottom