gwa myetu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 4,473
- 4,666
Ni mwanamziki ambaye ni too local hata Uganda hapa hajulikani na yuko kwenye game almost 20 years na anajijua hana uwezo
Unamaanisha Ambwene au Mwana FA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mwanamziki ambaye ni too local hata Uganda hapa hajulikani na yuko kwenye game almost 20 years na anajijua hana uwezo
Mkuu mnacheza na Real sociedad lakiniNashukuri mme tuhakikishia usukani at least for another week.
Sevilla red imewaharibia sana ile
Hali yetu si nzuri ila tutashinda hivo hivo mkuuMkuu mnacheza na Real sociedad lakini
Naangalia hapa nimeamini mpira upo spain na hela zipo England !!kuna team ndogo ndogo zinagusa balaa hadi natilia shaka league ya UingerezaHali yetu si nzuri ila tutashinda hivo hivo mkuu
Mi mwenyewe nachek hapa sasa usiniulize maoni yangu ni nnNaangalia hapa nimeamini mpira upo spain na hela zipo England !!kuna team ndogo ndogo zinagusa balaa hadi natilia shaka league ya Uingereza
Subiria dk 90 aisee ila laliga ile dominance ya Madrid na Barcelona vitaisha siku moja ,under dogs wanagusa sana na wana discipline ya mchezo asikudanganye mtu siku hizi Barca na Real wanashinda kwa mbinde sana na uzoefuMi mwenyewe nachek hapa sasa usiniulize maoni yangu ni nn
[emoji1]
Subiria dk 90 aisee ila laliga ile dominance ya Madrid na Barcelona vitaisha siku moja ,under dogs wanagusa sana na wana discipline ya mchezo asikudanganye mtu siku hizi Barca na Real wanashinda kwa mbinde sana na uzoefu
Amelowea sana Dar mpaka aka adapt uzaramo.Mwana FA siku hizi maelezo mengi kuliko muziki