Mwana FA: AY alinitosa kwenye collabo ya Zigo Remix

Naangalia hapa nimeamini mpira upo spain na hela zipo England !!kuna team ndogo ndogo zinagusa balaa hadi natilia shaka league ya Uingereza
Mi mwenyewe nachek hapa sasa usiniulize maoni yangu ni nn
[emoji1]
 
Mi mwenyewe nachek hapa sasa usiniulize maoni yangu ni nn
[emoji1]
Subiria dk 90 aisee ila laliga ile dominance ya Madrid na Barcelona vitaisha siku moja ,under dogs wanagusa sana na wana discipline ya mchezo asikudanganye mtu siku hizi Barca na Real wanashinda kwa mbinde sana na uzoefu
 
Umeongea ukweli
Mi sihafurahia tunacho kifanya now
Sema inabid tulzimishie hivo hivo
 
Aende akafanye remix na manfongo,nyimbo za wakubwa lazima atoswe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…