Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Mtihani sanaSiku hizi mpaka birthday watu wanataka michango.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtihani sanaSiku hizi mpaka birthday watu wanataka michango.
That shit aint value chainThe value chain.
Kwani kwa bajeti yako huwezi kuwalipa hao wa kwenye mnyororo? Yaani kutokana na kiasi ulicho nachoKuna raha yake kujumuika na watu wengi unaowafahamu kwenye siku yako muhimu maishani.
Pia msisitizo zaidi upo kwenye mnyororo wa thamani.
Fikiria kama kila Familia ingejitoa kuchangia ujenzi wa miundombinu ya taifa, leo hii tungekuwa wapi ?Kuoa si jambo la dharura kwa wahusika, hata aina ya kuoa, ndoa, na sherehe ni maamuzi yako. Kuchangisha michango ni unyonyaji, utumwa, kuwa omba omba, kujivika kilema, kusujudu, shortcut ya kuwa na nyumba, kiwanja, gari na etc.
Kuchangisha harusi na masherehe ni unyonyaji, tuanze kuchanga kuuguza, kusomesha, kujenga nyumba, hospitali, madaraja, macaravati, mitaro, kuvuta maji, nguzo za umeme, posho za waalimu, madarasa, vyoo.
Mwana FA hakuchukua mchango wa mtu wakati anaoa. Usi force mamboKuna watu tumesha wachangia ila leo wanasema ni suala binafsi kwA kuwa tu wamesha toka kwenye hili jambo
Wazee hili si suala binafsi ni suala la kijamii kama ilivyo misiba na magonjwa tuendelee kusaidiana (kudumisha undugu) kuwa pamoja na kuleta ukaribu
Kwamba uache kunichangia (makusudi) kwenye sherehe alafu ukipata shida utegemee nijitoe kukusaidia (100%) unaumwa wewe?
Tusaidiane kwenye shida (misiba, magonjwa) na raha (sherehe) sema hii michango ya laki si pesa hapana
Michango ya birthday pia hapana, michango ya mke wa 2 hapana pia
Watu kushiriki tukio la harusi haiwapi mamlaka katika ndoa yako. Unawazaje?Kwani kwa bajeti yako huwezi kuwalipa hao wa kwenye mnyororo? Yaani kutokana na kiasi ulicho nacho
Halafu hapo kwenye kujumuika pamoja siku mkija kugombana na mke/me nguvu yakuwaambia hao watu waliojumuika na wewe kwenye harusi yako kua haiwahusu na wafuate maisha yao utaitoa wapi? Na wakati wao ndo walikamilisha tukio zima la harusi
Hapo watanionaje kama nimechanga na mimi nataka kuonekana nimechangaKwa nini usichangie mwanafunzi anayedaiwa ada ya elfu 50 au laki moja? Kwa nini usichangie omba omba au mgonjwa ambao wana uhitaji zaidi?
Wewe unalipa kodi ?Umechanganya mambo. Hayo mambo ya mitaro, madaraja, umeme na mengine ni majukumu ya serikali kutokana na kodi zinazokusanywa.
Suala hili la kijamii na kiuchumi (socio-economy) tunaliweza. Ni letu.
Yaani mzazi wako akusomeshe halafu ufanye mambo ya kipuuzi shuleni , useme mambo ya shule hayamuhusu, hizo akili au matopeWatu kushiriki tukio la harusi haiwapi mamlaka katika ndoa yako. Unawazaje?
Ni kweli kama mtu ana uwezo wa kulipia vyote hivyo bila kuchukua hata senti ya mtu ni jambo zuri, lakini sio wote wenye uwezo, ndipo hata wazo l a kuchangishana lilipoibuka.
HazitoshiKodi zinafanya kazi gani?
mtu asie na uwezo ana uwezo wa kutoa mahari? Au inakatwa kwenye michango?Watu kushiriki tukio la harusi haiwapi mamlaka katika ndoa yako. Unawazaje?
Ni kweli kama mtu ana uwezo wa kulipia vyote hivyo bila kuchukua hata senti ya mtu ni jambo zuri, lakini sio wote wenye uwezo, ndipo hata wazo l a kuchangishana lilipoibuka.
Nimepoteza marafiki wengi sana kwa kutowachangia..Michango ya harusi inajenga Sana chuki, usipomchangia mtu.
Haikupi raha kuona mchango wako unatoa ajira kwa watu?
Si anajiweza mkuu, sisi kina pangu pakavu atuache tuendelee saidiana mkuu asilete mawazo yake ya kibwanyenye kwetu (kumbuka Ana mgao wa bilioni kadhaa toka tigo)Mwana FA hakuchukua mchango wa mtu wakati anaoa. Usi force mambo
Na utaendelea kupoteza kwA misimamo ya ajabu kama hiiNimepoteza marafiki wengi sana kwa kutowachangia..
Msimamo wangu ni mmoja, huwa sichangii sherehe/harusi.
Kwa ujinga huo acha niendelee kupoteza tuNa utaendelea kupoteza kwA misimamo ya ajabu kama hii
Kuna watu tumesha wachangia ila leo wanasema ni suala binafsi kwA kuwa tu wamesha toka kwenye hili jambo
Wazee hili si suala binafsi ni suala la kijamii kama ilivyo misiba na magonjwa tuendelee kusaidiana (kudumisha undugu) kuwa pamoja na kuleta ukaribu
Kwamba uache kunichangia (makusudi) kwenye sherehe alafu ukipata shida utegemee nijitoe kukusaidia (100%) unaumwa wewe?
Tusaidiane kwenye shida (misiba, magonjwa) na raha (sherehe) sema hii michango ya laki si pesa hapana
Michango ya birthday pia hapana, michango ya mke wa 2 hapana pia