Mwana FA kanizidi maarifa na wazo langu la kutengeneza body spray

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,577
Reaction score
3,146
Ni zaidi ya mwaka sasa nipo kwenye utafiti wa gharama na soko la body spray za wadada ambazo kwa wazo langu zitakua unique na very adore,wakati naenda kutafuta kampuni ambayo wataweza kunifanyia hii kazi mara paap naskia FA kalaunch spray zake moyo ukafanya paap....kweli ukisubiri liive wenzako hata kwa chumvi na pilipili wanakula....japo idea hii sio mpya but naweza kusema mawazo yanagongana au kwa watu niliowashirikisha wanaweza kuwa wamempa wazo langu na yeye kwa connection,exposure,pesa alizonazo kachangamkia fursa
 
Kama una idea za biashara buni lingine.
Au ulikwama kwa mtaji
 
Bilioni za tigo zishaanza kufanya kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…