Mwana FA kanizidi maarifa na wazo langu la kutengeneza body spray

Mwana FA kanizidi maarifa na wazo langu la kutengeneza body spray

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,577
Reaction score
3,146
Ni zaidi ya mwaka sasa nipo kwenye utafiti wa gharama na soko la body spray za wadada ambazo kwa wazo langu zitakua unique na very adore,wakati naenda kutafuta kampuni ambayo wataweza kunifanyia hii kazi mara paap naskia FA kalaunch spray zake moyo ukafanya paap....kweli ukisubiri liive wenzako hata kwa chumvi na pilipili wanakula....japo idea hii sio mpya but naweza kusema mawazo yanagongana au kwa watu niliowashirikisha wanaweza kuwa wamempa wazo langu na yeye kwa connection,exposure,pesa alizonazo kachangamkia fursa
Screenshot_20181219-095652.png
 
Ni zaidi ya mwaka sasa nipo kwenye utafiti wa gharama na soko la body spray za wadada ambazo kwa wazo langu zitakua unique na very adore,wakati naenda kutafuta kampuni ambayo wataweza kunifanyia hii kazi mara paap naskia FA kalaunch spray zake moyo ukafanya paap....kweli ukisubiri liive wenzako hata kwa chumvi na pilipili wanakula....japo idea hii sio mpya but naweza kusema mawazo yanagongana au kwa watu niliowashirikisha wanaweza kuwa wamempa wazo langu na yeye kwa connection,exposure,pesa alizonazo kachangamkia fursaView attachment 972008
Bilioni za tigo zishaanza kufanya kazi?
 
Back
Top Bottom