Mwana FA kavuta jiko

Hongera MwanaFA..nakumbuka enzi zile za Dr. Doriye. Maisha mema ya ndoa.
Asanteni kwa kuja thanks for coming..ha ha
 
Wakati ukifika utawajibika kuoa au kuolewa na ukiwa umebahatika,bado nipo nipo kwanza nadhani atakuwa ameitunga mahsusi aidha kwa kuwastopisha madowezi wasimfuatilie maana alikuwa na mwandani wake au katunga ili kujiingizia kipato maana kila mtu ana mbinu zake na kweli wimbo uliuza. Hongera kwake!
 
SWALI LA MWANA FA UTAO LINI?, LILIJIBIWA KAMA HIVI....
WASANII KIBAO WALIUDHULIA HARUSINI KAMA AY, OMMY DIMPOZ, NA WENGINE KIBAO!
 
Salama Jabir


AY kama ni kweli yasemwayo ajindae na yaliyomkuta yuleee mtoto wa aliyekuwa waziri ambaye mtalaka wake kaolewa te na juzi kati hapa.
Akasilimu na kuitwa Abdulkareem...

Jery slaa kachutama pale!
 
Huwa nawapenda waislamu kwenye issue za harusi na misiba,mambo very simple
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…