Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda aliongea ukweliNilimchukia huyu kaka toka aimbe ile bado nipo nipo kwanza, sijui kwanini! I dont know! [emoji17]
...duh!.,miaka yote hiyo!?..sio kesi,subiri mfungo uishe mtapasha kiporo!Hongera MwanaFA..nakumbuka enzi zile za Dr. Doriye. Maisha mema ya ndoa.
Asanteni kwa kuja thanks for coming..ha ha
Anae mtotohongera yake kwani hana mtoto?
...duh!.,miaka yote hiyo!?..sio kesi,subiri mfungo uishe mtapasha kiporo!
Yeye c ana mzungu?!Bado Le Mutuz
Salama yupiNingeskitika sana kama huyu kijana angekufa bila kuoa,AY nawe muoe salama haraka sana
Ile hela yao ya kesi ya tigo ishatoka au bado?Dah miaka yote alikuwa hana uwezo wa kuhimiri gharama za ndoa au nini?
...hahahahahaha...2b si bado hazijaingia!?...mtasebenza hivyo hivyo kwa kuungaunga kama Holiday Out!Matajiri hawali viporo. 😀😀😀😀😀
...hahahahahaha...2b si bado hazijaingia!?...mtasebenza hivyo hivyo kwa kuungaunga kama Holiday Out!
Salama JabirSalama yupi
Salama Jabir