Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Cc Inspekta Haroun Babuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majibu yako tu mimi ndio huwa yananimaliza kabisa... Yani sipati picha mkaka anapokupiga vesi unavyomuhenyesha...Umri ni nini
SanaaTaarifa zilizopo ni kwamba Mwana FA leo anachukua jiko. Hongera sana Hamis tunaomba utoe nyimbo nyingine sasa ya kusema umeshaoa no bado nipo nipo no more.
Ahahaha Chap Chap , wakiristo harusi kama uwekezajiNdoa za kiislam bajeti ya laki moja na chenji inabaki
Namwona King Crazy GK kwa mbali.
Yeye bado bado, anadendeka live na DivaNamwona King Crazy GK kwa mbali.
salama huyu huyu ambae wenyewe wanasemaga ana homoni zinazomfanya atamani" ananilii" na wanawake wanzie?.duh....!!!!AY nawe muoe salama haraka sana